Ndoto Yangu University Tour

Ndoto Yangu University Tour NDOTO YANGU UNIVERSITY TOUR ni kampeni iliyochini ya taasisi ya Malembo farm ikishirikiana na chuo

+255747981275+255714896662The long Wait is Over. NDOTO YANGU UNIVERSITY TOUR IMEREJEA TENA!!Kongamano la fursa za kilimo...
23/06/2020

+255747981275
+255714896662

The long Wait is Over. NDOTO YANGU UNIVERSITY TOUR IMEREJEA TENA!!
Kongamano la fursa za kilimo biashara litazinduliwa leo siku ya jumanne ya tarehe 23-06-2020.

Taasisi ya MALEMBO FARM ikishirikiana na CHUOLIFE TANZANIA pamoja na wadau wengine wa maendeleo nchini kupitia kampeni ya Ndoto yangu university tour wanakuletea kongamano kubwa la kimapinduzi ambalao dhumuni kubwa ni kuwaajenga vijana kujitambua na kupata elimu timilifu kuhusiana na Kilimo biashara ili kuhakikisha taifa letu la Tanzaniaa linakuwa na vijana wengi wanaofanya shughuli za kilimo cha kisasa ili kuongeza kasi ya uzalishaji, kupunguza wimbi la vijana wasio na ajira na kubwa zaidi kuongeza chachu ya maendeleo ya viwanda nchini ili kufikia mpango wa kitaifa wa kufikia uchumi wa kati kupitia Viwanda .

Kongamano hili linaanza rasmi katika chuo kikuu cha Sayansi na teknolojia mbeya (MUSTSO). Kongamano hili litafanyika katika vyuo vikuu vyote vilivyopo Tanzania bara bila kusahau vyuo vyote vilivyopo kisiwani Zanzibar. Kuelekea kuanza kwa kongamano hili waandalizi wote wa kongamano hili wanawasihi vijana wote mlioko vyuoni mkae mkao wa kula na mjitayarishe kupata maarifa mapya ili kuweza kujijenga kwa maisha yenye changamoto kubwa ya kukosa ajira hasa baada ya kumaliza elimu ya chuo.





[email protected]

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ndoto Yangu University Tour posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Ndoto Yangu University Tour:

Shortcuts

Share