20/06/2023
Dirisha la Usajili wa wanafunzi kwa Muhula wa septemba liko wazi ,
EastAfrica College of Business Tunakuhakikishia kukupatia elimu ya ujasiriamali na usimamizi wa biashara kwa vitendo kabisa , yaani kwa wanafunzi watakao chukua kozi ya Business Administration kwa ngazi ya Diploma na Certificate.
Lakini pia tumeandaa vitendea kazi na miundo mbinu wezeshi kwa wanafunzi wanaochukua kozi ya information Technology kuhakikisha wanamaliza Elimu yao wakiwa wabunifu na uwezo kwenye masomo ya vitendo yani Kutengeneza tovuti / website , kutengeneza Mifumo / System development , Application Development , Digital marketing , system security pamoja na Networking
Chagua East Africa College of Business
kwa uhakika wa kuajiriwa na kujiajiri 📑🚀
Tunapatikana Chang'ombe jirani na Veta
+255 766 342 755