14/10/2021
USEREMALA – CARPENTRY
Ongeza Ujuzi binafsi kwa kupata darasa la Misingi ya Useremala kutoka kwa Mtaalam wetu wa Useremala. Darasa letu la Useremala litakuwezesha kufahamu namna ya kutumia vifaa mbalimbali vya useremala pamoja na kutengeneza vifaa vidogo vidogo k**a Meza na stuli kwa ajili ya uelewa au darasa la vitendo.
Kumbuka unapojifunza au utakapowafunza vijana wako useremala utakua umejiongezea au kuwaongezea Ujuzi wa ziada ambao utaweza kusaidia katika shughuli mbalimbali pale Ujuzi huo utakapohitajika.
Majumbani tunaishi na samani nyingi za tofauti k**a vile meza, viti, masofa, kabati na hata vitanda, hivyo basi kupatikana mtu mwenye ufahamu wa namna zinavyotengenezwa ni muhimu katika nyumba ambapo anaweza akatumika pale kwenye dharula au kwenye mahitaji ya kawaida.
Ibrahim Mdoe nitakuletea darasa mpaka ulipo ili uweze kusomeshwa katika mazingira rafiki na tulivu kwako, tupigie simu sasa tuweze kupanga.
**************************
ENGLISH
**************************
Add Personal Skills by getting a Carpentry Basics class from our Carpentry Specialist. Our Carpentry Class will give you an idea of how to use a variety of carpentry tools as well as make small tools such as Tables and chairs for comprehension or practical classes.
Remember that when you study or teach your teens carpentry you will have added or added additional skills that will help you in various activities when that skill is needed.
At home we live with a lot of different furniture such as tables, chairs, sofas, cabinets and even beds, so finding someone who knows how they are made, is important in a home where he can be used where there is an emergency or in normal needs.
Ibrahim Mdoe I will bring you a class where you are so that you can be taught in a friendly and quiet environment for you, call us now so we can plan.