07/11/2019
Je, unahitaji kuongeza nafasi kwenye computer yako????
ππππ
TUANGALIE JINSI YA KUONGEZA NAFASI (SPACE) KATIKA HARD DISK DRIVE.
Kuna njia kuu tatu ambazo hufanya computer yakoiweze kuongezeka nafasi (Space) na uweze kuitumia bila kukwama kwama kunakotokana na kujaa kwa Hard disk drive.
1. Kusafisha Disk (Disk Cleanup)
2. Kujaza nafasi zilizowazi pindi unapofuta kitu kwenye computer hususani programs (Disk Defragment).
3. Kupunguza partition kwenye hard disk drive.
KUSAFISHA DISK (DISK CLEANUP)
Hii ni njia ambayo mtumiaji wa computer anatakiwa kuifanya pindi aonapo disk yake imejaa. Hatua za kufuata wakati wa kusafisha disk (disk cleanup).
Click and Open Computer (My computer/This PC)
Click and right click on Local Disk (C:)
Click properties
Click Disk Cleanup
Weka alama ya tiki kwenye visanduku vyote.
Click OK
Kwa kufanya hivyo utakuwaa umeweza kusafisha disk yako kwa njia salama zaidi.
Soma zaidi hapa
πππ
https://tthetechnician.blogspot.com