28/10/2025
“Unajua menu yako inaweza kuuza chakula kabla hata mteja hajaonja?
Hii ndio tunaita Menu Engineering — uchambuzi wa sahani zako ili ujue ipi inaleta faida kubwa zaidi.
K**a unamiliki catering business au restaurant, hii ni sayansi ambayo inabadilisha game kabisa!”
🎯 Key Point:
Menu engineering = profit + popularity analysis.
Lengo: kujua sahani ipi inauza, ipi haileti faida.
> “Kesho tutaongelea Menu Matrix — Stars, Dogs, Plowhorses na Puzzles.
Ukiwa serious na food business yako, usikose!
Jiunge na Catering Business Master Class kwenye WhatsApp Live kwa gharama ndogo sana.
Link ipo Kwa bio!