27/09/2022
Je, Unahitaji Smartphone Yako Ikuingizie Kipato?
Nafahamu Unajaza Bando Mara nyingi, Lakini Mwisho wa Mwaka ushawahi kufanya tathmini Umetumia kiasi gani kwenye Vocha Tu?
Actually ni Hela nyingi sana.
Hiyo Smartphone Yako inayokumalizia Vocha ni Lini itaanza kukuingizia Kipato?
Najua umekutana na Fursa nyingi,
Najua unatamani kufanya biashara Mtandaoni Lakini hujui wapi pa kuanzia...
Duniani, Kila dakika moja inayopita, videos Zaidi ya Milioni 4 zinatazamwa YouTube.
Wewe Ni lini videos zako zitaanza kutazamwa?
Unaweza kuanzisha au kutangaza biashara Mtandaoni lakini k**a hujui kuandaa Matangazo Ya video, Ni vigumu sana kuikuza kwa kasi k**a unavyotamani iwe.
Watu Mtandaoni wataikumbuka Biashara yako kwa asilimia kubwa ukiiweka
katika mfumo wa Video, na
wataikumbuka kwa asilimia chache Sana ikiwa katika mfumo wa maneno
Kupost Video Ni jambo ambalo kila mmoja analiweza....
Ila kutengeneza VIDEO itakayowavutia na kuwashawishi Wateja wengi
wakutafute na kununua Bidhaa/huduma yako Ni Jambo ambalo Wengi
hawaliwezi
Ndio Maana...
Nimekuja kukusaidia
Nimekuandalia Mafunzo yatakayokuwezesha
✅Kuliteka soko la Wafanyabiashara wengi ambao hawajui kuzitangaza
Biashara zao katika mfumo wa video.
✅Yatakuwezesha kuandaa Online Course unazoweza kufundisha wengine na wakakulipa
✅kuendesha Biashara yako (k**a unayo) katika mfumo wa kisasa na
kujitofautisha na wengine na k**a huna kutumia ujuzi huu huu kuwa Biashara rasmi
✅Kupata kazi katika makampuni/taasisi mbalimbali pia hata kwenye
freelancing platform K**a vile upwork, Fiverr
✅Utakuwa Ni mwanzo mzuri wa kufungua YouTube channel Yako hata k**a
hauna Camera Mana utaweza kutengeneza Kupitia Simu yako.
Baadhi ya vitu utakavyojifunza katika Mafunzo haya Ni;
✅Utangulizi wa Video Creation
✅Jinsi ya kuandika Script ya Video inayouza Zaidi
✅Jinsi ya kutengeneza Cartoon Animations
(Whiteboard Animation Logo Animation, 3D explainer,2D&3D Animations)
✅Jinsi ya kutengeneza Tangazo La Biashara Lenye mvuto.
✅Jinsi Ya kutengeneza Logo ya Biashara hata k**a hauna Ujuzi wowote.
Mafunzo Haya Gharama zake Ni Tsh. 80,000/=
Lakini Mimi Nitakufundisha BURE
Kumbuka Darasa hili linahitaji watu 10 tu. Hivyo jiunge sasa