21/12/2020
PART 1: KARDASHEV SCALE
Katika ukubwa wa anga ni ngumu kufikiri kuwa hakuna viumbe vinavyoishi nje ya sayari. Japo tunaamini kuwa kuna Mungu (conscious being) anaeishi nje ya sayari na malaika zake. Tunaweza kuamini kuwa hatuishi kwenye upweke wa Anga.