29/05/2024
*_Faida Za Kula Samaki Pweza_*
🐙. **Protini:** Pweza ni chanzo kizuri cha protini, ambayo ni muhimu kwa ujenzi na ukarabati wa tishu, ikiwa ni pamoja Na misuli ya mwili, hivyo kusaidia katika kuimarisha misuli ya uume kuwa imara zaidi
🐙. **Seleniamu:** Ni madini mengine muhimu yanayopatikana kwenye pweza. Seleniam husaidia kudhibiti mfumo wa kinga na ina jukumu katika kuzuia uharibifu wa seli, pia kwa mwanaume inamsaidia katika kuongeza hamu na hisia za kushiriki tendo la ndoa
🐙. **Zinki:** Zinki ni madini muhimu kwa afya ya uzazi, hususan katika kuongeza uzalishwaji wa mbegu za kiume kwa wingi.
🐙. **Asidi ya Omega-3:** Pweza ana asidi ya omega-3, ambayo ni muhimu kwa afya ya moyo na ubongo. Asidi hii inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na tatizo la ubongo kupungua uwezo wake wa kufanya kazi (Alzheimer) hasa kwa watu wenye umri mkubwa.
Hayo Madini yote yanapatikana kwenye kirutubisho chetu cha mafuta ya Samaki kinaitwa ARCTIC SEA , badala ya kutumia PWEZA wawili kila siku unaweza kutumia supplement ya Arctic sea tu.
*PWEZA sio dawa , hivyo Tumia K**a sehemu ya chakula tu. Na Kwa wenye changamoto za udhaifu kwenye tendo la ndoa usisite kunijulisha mapema nikushauri program yako utatue tatizo lako, usiendelee kumtesa mpenzi wako kihisia unaweza kuanza kwa full dozi au nusu dozi. KARIBU SANA*
Tuma ujumbe neno AFYA kwenda WhatsApp number 0629224104