Holy Union Pre & Primary School

Holy Union Pre & Primary School Pre & Primary School under Holy Union Sisters - Tanzania
Motto: "Today's Children, Tomorrow's World"

Heri ya Sikukuu ya Eid Al-Adha!
27/05/2026

Heri ya Sikukuu ya Eid Al-Adha!

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI.Tunaungana na wafanyakazi wote duniani kusherehekea siku hii muhimu kwetu ambayo kitaifa ina...
01/05/2026

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI.
Tunaungana na wafanyakazi wote duniani kusherehekea siku hii muhimu kwetu ambayo kitaifa inaongozwa na kaulimbiu: "Kazi zenye staha ni nguzo imara kwa maendeleo endelevu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050"

Tunaomboleza kifo cha Mkurugenzi wa Shule yetu, Sr. Mairead Mulligan kilichotokea tarehe 24.04.2026. Tunatoa pole kwa uo...
25/04/2026

Tunaomboleza kifo cha Mkurugenzi wa Shule yetu, Sr. Mairead Mulligan kilichotokea tarehe 24.04.2026. Tunatoa pole kwa uongozi na wafanyakazi wa shule, Masista wa Shirika la Holy Union na wote walioguswa na msiba huu. Tumuombee marehemu Sr. Mairead apumzike kwa amani.

Tunaomboleza kifo cha Sr. Scholastica Mhea kilichotokea tarehe 18.04.2026. Tunatoa pole kwa Masista wa Shirika la Holy U...
21/04/2026

Tunaomboleza kifo cha Sr. Scholastica Mhea kilichotokea tarehe 18.04.2026. Tunatoa pole kwa Masista wa Shirika la Holy Union na wote walioguswa na msiba huu. Tumuombee marehemu Sr. Scholastica apumzike kwa amani.

07th April, Karume Day
07/04/2026

07th April, Karume Day

Heri ya Sikukuu ya Pasaka!
05/04/2026

Heri ya Sikukuu ya Pasaka!

Karibuni kwa nafasi za kujiunga na shule yetu. 📚
29/03/2026

Karibuni kwa nafasi za kujiunga na shule yetu. 📚

Heri ya Sikukuu ya Eid!
21/03/2026

Heri ya Sikukuu ya Eid!

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani.Katika kuadhimisha siku hii muhimu, Mkuu wa Shule (Sr. Glory Beda) amewaongoza wafanyak...
08/03/2026

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani.

Katika kuadhimisha siku hii muhimu, Mkuu wa Shule (Sr. Glory Beda) amewaongoza wafanyakazi wa k**e na baadhi ya wanafunzi katika zoezi la upandaji miti ndani ya eneo la shule kuashiria mchango wa wanawake katika mazingira.

“Haki na Usawa kwa Wanawake na Wasichana: Msingi Jumuishi kufikia Dira 2050”

Tunamshukuru Mungu na kuwapongeza wanafunzi wetu wa Darasa la Pili kwa kumaliza salama mitihani yao ya upimaji kitaifa (...
20/11/2025

Tunamshukuru Mungu na kuwapongeza wanafunzi wetu wa Darasa la Pili kwa kumaliza salama mitihani yao ya upimaji kitaifa (STNA) siku ya jana tarehe 19.11.2025

Address

Mbagala Majimatitu
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30
Saturday 08:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Holy Union Pre & Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Holy Union Pre & Primary School:

Shortcuts

Share

Category