Kitan daycare

Kitan daycare Day care and English Medium school in Tanzania that receives children from 2 to 5 years
KITAN is special because our Main focus is on Kids Talents Nurturing.

For More info call us
0672553720 visit us at Mbezi kibanda Cha Mkaa,

Binti yake alilelewa kituoni hapa na sasa yuko darasa la nne.Aksante sana ,Mungu aendelee kumtunza binti yetu huko aliko
19/03/2026

Binti yake alilelewa kituoni hapa na sasa yuko darasa la nne.
Aksante sana ,Mungu aendelee kumtunza binti yetu huko aliko

Tupo kuwahudumia watoto wote.
19/03/2026

Tupo kuwahudumia watoto wote.

wajibu wetu k**a walezi na wazazi ni kuwasaidia watoto wetu kutambua ndoto zao katika umri huu ili wajiandae kuyakabili ...
17/03/2026

wajibu wetu k**a walezi na wazazi ni kuwasaidia watoto wetu kutambua ndoto zao katika umri huu ili wajiandae kuyakabili maisha ya za usoni.Leo tunafurahi kupata vijana watakaojenga majumba na mabinti wapambaji kumbi za sherehe.Tunaimani watasaidiwa kuziishi ndoto zao๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
w

05/03/2026

watoto wetu faraja yetu.Hivi ndivyo tunafanya kuwaanda watoto wawe farja ya wazazi,ni furaha iliyoje kuwa na mtoto chapa kazi namna hii.Inawezekana tukianza nao mapema.Kitan daycare tunashirikia na wewe mzazi kumwandaa mtoto mapema,karibu sana umlete mtoto wako hapa

26/02/2026

UMBALI SIO SABABU,TUNAMFUATA MTOTO.
NA KUMRUDISHA NYUMBANI

Tukiwafundisha watoto wetu,kujitoa walivyonavyo kwa ajili ya wengine,tunajenga TAIFA IMARA LENYE UPENDO WA DHATI.
11/04/2025

Tukiwafundisha watoto wetu,kujitoa walivyonavyo kwa ajili ya wengine,tunajenga TAIFA IMARA LENYE UPENDO WA DHATI.

Madaktari wetu wakielekezwa namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumia.Ndoto huwa halisi,inawezekana,tuwasaidie k...
10/04/2025

Madaktari wetu wakielekezwa namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumia.Ndoto huwa halisi,inawezekana,tuwasaidie kutimiza ndoto zao

Kesho ya mtoto huanzia hapa,vijana hawa ni madaktari wa kesho,tuwahimize watoto wetu kujua kesho yao LEO
19/03/2025

Kesho ya mtoto huanzia hapa,vijana hawa ni madaktari wa kesho,tuwahimize watoto wetu kujua kesho yao LEO

Address

Magengeni
Dar Es Salaam
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kitan daycare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category