psj_tanzania

psj_tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from psj_tanzania, Education, Dar es Salaam.

Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.
01/05/2026

Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.

For Information kindly contact us : 👉0719 406048/0624224750
11/04/2026

For Information kindly contact us : 👉0719 406048/0624224750

“Huwezi Kuwa Mwananchi K**a Huna Uchungu na Nchi Yako”Historia yako itaishi Milele💪
07/04/2026

“Huwezi Kuwa Mwananchi K**a Huna Uchungu na Nchi Yako”

Historia yako itaishi Milele💪

Heri ya Sikukuu Ya Pasaka Kwa Wakristo wote🕊️
05/04/2026

Heri ya Sikukuu Ya Pasaka Kwa Wakristo wote🕊️

“siku ya kukumbuka upendo wa kweli uliotolewa kwa ajili yetu”.  Practical Schoo Of Journalism Tunawatikia Watanzania Wot...
03/04/2026

“siku ya kukumbuka upendo wa kweli uliotolewa kwa ajili yetu”. Practical Schoo Of Journalism Tunawatikia Watanzania Wote Heri Ya Ijumaa Kuu 🙏

Uongozi wa Chuo Cha Uandishi wa Habari kwa Vitendo-PSJ, Unawatakia Waislamu Wote Nchini heri ya Sikukuu ya Eid Al Fitr E...
20/03/2026

Uongozi wa Chuo Cha Uandishi wa Habari kwa Vitendo-PSJ, Unawatakia Waislamu Wote Nchini heri ya Sikukuu ya Eid Al Fitr
EID MUBARAQ🌙
❤️

Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari PSJ kwa kushirikiana na wanafunzi wake, wameonesha upendo wa dhati kwa kutembelea...
17/03/2026

Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari PSJ kwa kushirikiana na wanafunzi wake, wameonesha upendo wa dhati kwa kutembelea na kutoa msaada katika kituo cha kulelea watoto yatima Kinachofahamika k**a MWANA ORPHANAGE ISLAMIC FOUNDATION kilichopo Vinginguti ,Dar Es Salaam.

“Ni zaidi ya kujifunza darasani ni kujenga moyo wa kujali, kugusa maisha ya wengine, na kuleta tabasamu kwa wanaohitaji”.

Asante kwa kila mwanamke anayepigania ndoto zake, familia yake na jamii. Leo ni siku yenu. Happy Women’s Day!.💐
08/03/2026

Asante kwa kila mwanamke anayepigania ndoto zake, familia yake na jamii. Leo ni siku yenu. Happy Women’s Day!.💐

19/02/2026

Kwa niaba ya Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kwa Vitendo -PSJ, Mkurugenzi FATUMA ZAHORO CHOMOKA anawatakia Waislamu Wote Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan na kuomba kuendeleza mshik**ano na upendo katika nchi.
🌙

Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kwa Vitendo unawatakia Waislam Wote Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu w...
18/02/2026

Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kwa Vitendo unawatakia Waislam Wote Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan 🌙

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when psj_tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to psj_tanzania:

Shortcuts

Share

Category