King Dav Jr.

King Dav Jr. Mwalimu wa Ujasiliamali Kwa kuzingatia Neno la MUNGU (Biblia Takatifu)...Kwa maana kusudi la MUNGU kwa binadamu ni KUMILIKI KUTAWALA KUABUDU

Women handbag new Arrive Tsh 30000/ press your orders
12/06/2023

Women handbag new Arrive Tsh 30000/ press your orders

14/04/2023

Nimewakumbuka

19/05/2021

Hlw

*_TANGAZO_*Napenda kuwakumbusha wapendwa wa *_GROUP LETU LA PRAYER & MARRIAGE_*(Maombi Na uchumba/ndoa).....Yakwamba tar...
06/03/2021

*_TANGAZO_*

Napenda kuwakumbusha wapendwa wa *_GROUP LETU LA PRAYER & MARRIAGE_*(Maombi Na uchumba/ndoa).....Yakwamba tarehe 1/5/2021 kutakuwa Na kongamano/seminar ya NDOA NA UPONYAJI iatakayosindikizwa Na SADAKA ya uchangishaji fedha Kwa Ajili ya ununuzi wa viti kanisani(kuanzia kiasi cha Tsh 5000/).

Mahali:- *_Gongolamboto- kibiriko,dar es salaam_*

Tarehe:- *_1/5/2021_*(Jumamosi)

Muda:- *_9Mchana - 12Jioni_*

Walimu Na wataalamu mbalimbali wa maswala ya mahusiano Na uchumi watakuwepo.

*MUHIMU*:- _K**a unahitaji kuhudumu siku hiyo unakaribishwa_

*_Imetolewa Na Mchungaji Kiongozi Apostle AMOS K._*

Contact:- *_0717232 433_* & *_759 266 526_*

*_Pia unaweza Bonyeza link hapo chini ikakupeleka moja Kwa moja ktk Group Kwa Maelekezo zaidi_*
👇👇👇👇👇

WhatsApp Group Invite

*_ICHUKIE DHAMBI Na SIO MTENDA DHAMBI_*Anaandika ©kingdav jr Wapendwa Leo nilikuwa nikitafakari jambo juu ya habari ya d...
27/02/2021

*_ICHUKIE DHAMBI Na SIO MTENDA DHAMBI_*

Anaandika ©kingdav jr

Wapendwa Leo nilikuwa nikitafakari jambo juu ya habari ya dhambi na mtenda dhambi.

Nilichokigundua nikwamba wakristo wa Sasa huwa tunakwenda tofaut kabisa na Yesu kristo juu ya habari ya dhambi na mtenda dhambi...kwani *_YESU YEYE ALICHUKIA DHAMBI LKN ALIMPENDA MTENDA DHAMBI(mf mwanamke kahaba,mwanamke mzinzi,zakayo mtoza ushuru) tena aliwatetea Kwa nguvu_* lkn Kwa upande wetu imekuwa tofauti kabisa yaani tumekuwa WALOKOLE MPITILIZO *_TUNACHUKIA DHAMBI NA MTENDA DHAMBI YAANI WOTE TUNAWAWEKA KTK KAPU MOJA_*

SIO VIZURI WAPENDWA TUJUE KUTOFAUTISHA NYEUPE NA NYEUSI

ICHUKIE POMBE NASIO MUUZA POMBE

©KingDav

Uwezo wa kupata majibu ya Maombi yako Kwa Mungu hutegemea namna Akili yako inavyo tafakari juu ya kile ulicho kiomba kwa...
29/01/2021

Uwezo wa kupata majibu ya Maombi yako Kwa Mungu hutegemea namna Akili yako inavyo tafakari juu ya kile ulicho kiomba kwake.

Kwa maana kuomba ni IMANI kutafakari ni MATENDO

©KingDav (master)

17/01/2021

God is Good

Address

Airport
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when King Dav Jr. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share