Fasry english&swahili languages course

Fasry english&swahili languages course Tuna fundisha πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡Έ
Kiingereza bila kujali umri wala elimu
Wasiliana nasi
☎️0622 31 66 21/ 0744

NJOO UJIFUNZE KIINGEREZA CHA KUONGEA NA KUANDIKA KWA MUDA MFUPI SANA KUPITIA KANUNI ZETU ZA MAAJABU ILI UACHANE NA YES ,NO

β£ππ†πŽπ‰π€ ππˆπŠπ–π€πŒππˆπ„ πŠπˆπ“π” π‹π„πŽ, πŠπ”π‰π”π€ 𝐍𝐀 πŠπ”πŽππ†π„π€ πŠπˆπˆππ†π„π‘π„π™π€ πˆππ€π–π„π™π„πŠπ€ππ€ ππˆπ‹π€ πŠπ”π‰π€ 𝐇𝐀𝐓𝐀 𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐀𝐍, π‡π€πˆπ‰π€π‹πˆπ’π‡πˆ π”ππŽ πŠπˆπ‰πˆπ‰πˆ π†π€ππˆ.  ...
02/07/2025

β£ππ†πŽπ‰π€ ππˆπŠπ–π€πŒππˆπ„ πŠπˆπ“π” π‹π„πŽ, πŠπ”π‰π”π€ 𝐍𝐀 πŠπ”πŽππ†π„π€ πŠπˆπˆππ†π„π‘π„π™π€ πˆππ€π–π„π™π„πŠπ€ππ€ ππˆπ‹π€ πŠπ”π‰π€ 𝐇𝐀𝐓𝐀 𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐀𝐍, π‡π€πˆπ‰π€π‹πˆπ’π‡πˆ π”ππŽ πŠπˆπ‰πˆπ‰πˆ π†π€ππˆ.

π™π™‰π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™Šπ™ƒπ™„π™π˜Όπ™…π™„ 𝙉𝙄 π™ƒπ™„π™”π™Š π™Žπ™„π™ˆπ™ π™”π˜Όπ™†π™Š 𝙏𝙐, π™”π™€π™Žπ™Ž...π™‰π™„π™ˆπ™€π™Žπ™€π™ˆπ˜Ό π™ƒπ™„π™”π™Š π™ƒπ™„π™”π™Š π™Žπ™„π™ˆπ™ π™π™‰π˜Όπ™”π™Š π™π™π™ˆπ™„π˜Ό π™ƒπ˜Όπ™‹π™Š, π™‹π™€π™π™„π™„π™„π™„π™„π™Šπ˜Ώ!!

Well, Online course inaendelea, piga simu au fika ofisini kujua utaratibu wakujiunga.

π‚πšπ₯π₯/
π–π‘πšπ­π¬π€π©π©/ πŸŽπŸ•πŸ’4-330-077
____________________________________________
😊 π™†π˜Όπ™π™„π˜½π™πŸ€

30/06/2025

KUPITIA ONLINE COURSE YANGU, NTAKUBADILISHA KWA KIPINDI KIFUPI SANA KWENYE MATATIZO YOTE YA LUGHA ULIYONAYO. (Darasa la3 ,7 , O’level au Chuo) HAIJALISHI.. UTAZUNGUMZA K**A UNAVYOONGEA KISWAHILI.

π™π™‰π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™Šπ™ƒπ™„π™π˜Όπ™…π™„ 𝙉𝙄 π™ƒπ™„π™”π™Š π™Žπ™„π™ˆπ™ π™”π˜Όπ™†π™Š 𝙏𝙐, π™”π™€π™Žπ™Ž...π™‰π™„π™ˆπ™€π™Žπ™€π™ˆπ˜Ό π™ƒπ™„π™”π™Š π™ƒπ™„π™”π™Š π™Žπ™„π™ˆπ™ π™π™‰π˜Όπ™”π™Š π™π™π™ˆπ™„π˜Ό π™ƒπ˜Όπ™‹π™Š, π™‹π™€π™π™„π™„π™„π™„π™„π™Šπ˜Ώ!!

Well, Online course inaendelea, piga simu au fika ofisini kujua utaratibu wakujiunga.

π‚πšπ₯π₯/
π–π‘πšπ­π¬π€π©π©/ πŸŽπŸ•πŸ’4-330-077
NOTE:
Unajifunza mara 1 tu, kinakusaidia maisha yako yoote, Usiendelee kutoa sababu za kutokujifunza tena, Muda ni huu.

____________________________________________
😊 π™†π˜Όπ™π™„π˜½π™πŸ€

Hey buddies!Ukiweza kubadilisha sentensi hiyo kuwa kiingerezaBasi wewe ndiyo mshindi wetu na hatutahutaji tena mwengine....
22/02/2024

Hey buddies!

Ukiweza kubadilisha sentensi hiyo kuwa kiingereza
Basi wewe ndiyo mshindi wetu na hatutahutaji tena mwengine.

OFA hii si ya kudumu
Kozi ni ya miezi 2 tu

Tupo likizo fupi kabla ya kurudi katika project yetu ya mkoa kwa mkoa

Piga simu :- 0744 330-077

Hey there!Leo nimekuja na OFA kubwa baada ya kumaliza program yetu ya outreach program huko vijijini na Sasa tume rudi t...
22/02/2024

Hey there!

Leo nimekuja na OFA kubwa baada ya kumaliza program yetu ya outreach program huko vijijini na Sasa tume rudi tena upyaaaah

Embu wahi zawadi hiyo na ukawe wa kwanza kukaa na mwalimu wako kwa muda ndani ya siku 60 tu.

0744 330-077 πŸ₯‚

Habari Bado tunaendelea kupeana taarifa kuhusu Ufunguzi wa darasa jipya Hawa tulio nao wanamalizia ngwe ya mwishoTuna Da...
11/12/2023

Habari

Bado tunaendelea kupeana taarifa kuhusu
Ufunguzi wa darasa jipya

Hawa tulio nao wanamalizia ngwe ya mwisho

Tuna Darasa la Asubuhi-mchana na usiku pia

Piga simu :- 0744 330 077

Habari Leo tupo katika kumaliza kozi yetu na hapaWanafunzi wanafanya mitihani ila kwa awamu wanaingia makundi mawili hil...
11/12/2023

Habari

Leo tupo katika kumaliza kozi yetu na hapa
Wanafunzi wanafanya mitihani ila kwa awamu wanaingia makundi mawili hili ni la kwanza na la pili litafata baada ya hapo watafanya mtihani wa listening skills ambao utaenda sambamba na mtihani speaking skills

Tunakukumbusha kuwa
Kwa Sasa
Tuna Darasa la Asubuhi - Mchana - usiku

Namba ni 0744 33 00 77

Tupo Mbagala Rangi 3
Kozi ya muda mfupi πŸ™

Hello Hivi bado hujapata jibu la hilo swali? Mbona simple sana,Jaribu tuone.....                     Kumbuka____________...
05/10/2023

Hello

Hivi bado hujapata jibu la hilo swali?

Mbona simple sana,
Jaribu tuone.....

Kumbuka
______________________________________________

Tupo: Mbagala Rangi 3
Pia tunafanya
.Mobile Classes
.Online classes

Tupigie:- 0744 330 077

🫴  Hello Tanzania. _____________________________________Leo tupo live kwaajili Yako,Embu jibu hilo swali na utuelezee sa...
03/10/2023

🫴 Hello Tanzania.
_____________________________________

Leo tupo live kwaajili Yako,

Embu jibu hilo swali na utuelezee sababu zako,
πŸ‘‰ Kiingereza hakihitaji Elimu, umri Wala kabila la mtu
Na inawezekana ndani ya miezi 2 tu ukawa muongeaji mzuriiiiiii,🫰

Usisahau kuwa,
Namba zetu ni 0744 330 077
Calls and WhatsApp pia βœ”οΈ

Hello Tuna mshukuru Mungu kwa kuifanikisha safari yetukwaajili ya Debate na tumeifurahia siku ya Leo hakika imekuwa siku...
05/09/2023

Hello

Tuna mshukuru Mungu kwa kuifanikisha safari yetu
kwaajili ya Debate na tumeifurahia siku ya Leo hakika imekuwa siku ya kihistoria sana
tunashukuru kwa ukarimu mliotuonesha
karbu sana sana
K**a irudiwe hivi hii Debate maana ilikuwa ya moto πŸ˜‚

Mawasiliano yetu ni ,0744 330-077
Tupo :- Mbagala Rangi 3

Bado tupo katika ofa maalum ya TAKE ME TO ANOTHER LEVEL katika kipindi hiki ambacho tumemaliza mkataba Hivyo tunakukarib...
17/07/2023

Bado tupo katika ofa maalum ya TAKE ME TO ANOTHER LEVEL katika kipindi hiki ambacho tumemaliza mkataba
Hivyo tunakukaribisha sana katika kozi ya 𝙒iezi 2 tu.

Jiunge leo na Darasa letu yaani
Kiingereza Kwa miezi 2 Tu.
________________________________________

π‡πŽπ“π‹πˆππ„ - πŸŽπŸ•44-330 077β €
𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 - / 𝟎622-316 621β €
_________________________________________
πŸ“§ [email protected]
😊 πŠπ€π‘πˆππ”πŸ€

Address

Mbagala, Zakhem
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fasry english&swahili languages course posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Fasry english&swahili languages course:

Shortcuts

Share