East Evan college of Health science

East Evan college of Health science COLLEGE OF MEDICINE & PHARMACEUTICAL SCIENCE

📌Habari njema kwa Wanafunzi wote 👇👇Mkuu wa Chuo cha afya na sayansi shirikishi EAST EVAN kilichopo KIGAMBONI DAR ES SALA...
06/02/2024

📌Habari njema kwa Wanafunzi wote 👇👇

Mkuu wa Chuo cha afya na sayansi shirikishi EAST EVAN kilichopo KIGAMBONI DAR ES SALAAM.

📌Anawatangazia wanafunzi wote ambao wanahitaji kujiunga na chuo kwa mkupuo wa MARCH INTAKE kuwa Dirisha la usajili lipo wazi kwa kozi za Biashara.

📌Kutuma maombi yako bonyeza link hapa chini 👇
https://forms.gle/XX79h8o6BLgNPnBf9
Au
Tuma maombi yako moja kwa moja kupitia 👉👉 www.collegeapp.ac.tz

📠📞 Wasiliana nasi moja kwa moja piga simu 0676722621

Habari njema kwa wahitimu wa kidato cha Nne sasa unaweza kusoma ukiwa na Ufaulu wa alama D mbili na kuendelea mpaka ukah...
22/01/2024

Habari njema kwa wahitimu wa kidato cha Nne sasa unaweza kusoma ukiwa na Ufaulu wa alama D mbili na kuendelea mpaka ukahitimu Degree Vyuo vikuu.
Chuo cha afya na sayansi shirikishi EAST EVAN kilichopo KIGAMBONI DAR ES SALAAM tunakupa nafasi ya kutimiza ndoto zako katika kozi mbali mbali;

📌Jiunge nasi kwa kozi zifuatazo👇👇

✅Laboratory Assistant (Afisa Msaidizi wa Maabara)
✅Business Operation Assistant (Afisa Biashara Msaidizi)

📌Kumbuka ufaulu ni kuanzia alama D mbili na kuendelea

📌Kujisajili lipa Tzs 10,000/= kwenda lipa namba 5543361(EAST EVAN)

📠📞 Wasiliana nasi moja kwa moja piga simu 0676722621

✅ TEMBELEA WEBSITE YETU👉👉. www.ecohas.ac.tz

07/01/2024
📌Je Ufaulu wako ni wa  D mbili nakuendelea na hujui njia ya kujiendeleza mpaka uhitimu degree vyuo vikuu?. 📌 Karibu ujiu...
18/11/2023

📌Je Ufaulu wako ni wa D mbili nakuendelea na hujui njia ya kujiendeleza mpaka uhitimu degree vyuo vikuu?.

📌 Karibu ujiunge nasi kwa kozi ambazo zipo chini ya VETA
1. LABORATORY ASSISTANT
-Ufaulu kidato cha Nne alama D mbili katika masomo yoyote ambayo sio ya Dini

2. BUSINESS OPERATION ASSISTANCE (BOA)
-Ufaulu kidato cha Nne alama D Moja kwa somo lolote ambalo sio la Dini

Tupo Kigamboni Dar es salaam.
Kwa mawasliano zaidi Tupigie Simu 0676722621

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when East Evan college of Health science posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share