Nussery libraly

Nussery libraly Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nussery libraly, Elementary School, mbezi ya kimara, Dar es Salaam.

Mawasiliano check me WhatsApp number
27/04/2020

Mawasiliano check me WhatsApp number

NUSSERY SEBURENI KWAKO:Kwa wazazi wenzangu pamoja na kuwa na wakati huu mgumu wa kipindi cha Corona lakini elimu kwa mto...
26/04/2020

NUSSERY SEBURENI KWAKO:

Kwa wazazi wenzangu pamoja na kuwa na wakati huu mgumu wa kipindi cha Corona lakini elimu kwa mtoto haikomi.

Tunavyo vitabu vya watoto wa kuanzia miaka 2-6 vitakavyo mfanya kuwa busy na kuwa na kumbukumbu na shule na kupata maarifa akiwa nyumban.

Mwalimu unaweza kuwa wewe mzazi au vijana wako walio nyumbani na mtoto akaelewa.

VITABU tulivyonavyo.

1. Kujifunza namba kwa lugha ya kiingereza.

2. Kujifunza kusoma herufi kwa kiingereza.

3. Kujifunza kuchora picha za wanyama na mimea.

4. Kujifunza majina ya vitu mbalimbali kwa kiingereza.

5. Kitabu vya michezo ya kuchangamsha ubongo.

NB: Vitabu vinapatikana kwa gharama ya 2000Tsh

WhatsApp number 0685042529

24/04/2020
Mkinge mtoto mbali na Corona mweke karibu na elimuWauzaji wa Vitabu vya watoto wadogo umri miaka 2-6
24/04/2020

Mkinge mtoto mbali na Corona mweke karibu na elimu

Wauzaji wa Vitabu vya watoto wadogo umri miaka 2-6

Address

Mbezi Ya Kimara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nussery libraly posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Nussery libraly:

Shortcuts

Share