Louis Montfort Secondary School

Louis Montfort Secondary School Louis Montfort Sec School Ni Shule ya Bweni, Tupo Yombo Vituka Dar es Salaam Tanzania

13/08/2026
31/07/2026

πŸŽ“ Uandikishaji wa Kidato cha Kwanza 2027 Unaendelea!

Kila mzazi anatamani kumwona mtoto wake akipata elimu bora, malezi yenye maadili na mazingira salama ya kujifunzia. Hicho ndicho tunachokitoa Louis Montfort Secondary School.

βœ… Shule ya bweni kwa wavulana na wasichana
βœ… Walimu wenye uzoefu na kujitoa
βœ… Elimu bora yenye matokeo yanayozungumza
βœ… TEHAMA, Robotics na mazingira rafiki ya kujifunza
βœ… Malezi ya Kikatoliki yanayojenga nidhamu, maadili na uongozi

πŸ“ Karibu ujiunge na familia ya Louis Montfort Secondary School na umpe mtoto wako msingi imara wa mafanikio ya baadaye.

πŸ“… Usikose nafasi! Chukua fomu yako ya kujiunga leo.

13/07/2026

07/07/2026

Welcome to Louis Montfort Admission 2027 now Open

06/07/2026

Admission is now Open for 2027 (From One) Karibuni sana

Memory
24/06/2026

Memory

πŸ†πŸ”₯ KWA MARA YA KWANZA, LOUIS MONTFORT SECONDARY SCHOOL YANG’ARA ARUSHA! πŸ”₯πŸ†Safari yetu ya kwanza katika mashindano ya TND...
17/06/2026

πŸ†πŸ”₯ KWA MARA YA KWANZA, LOUIS MONTFORT SECONDARY SCHOOL YANG’ARA ARUSHA! πŸ”₯πŸ†

Safari yetu ya kwanza katika mashindano ya TNDC 2026 imekuwa ya kihistoria na yenye mafanikio makubwa.

βœ… Best School - TNDC 2026
βœ… Second Best Senior Speaker - TNDC 2026
βœ… Timu 3 zimeingia hatua ya 16 Bora Senior Debate
βœ… Wanafunzi 4 wameingia hatua ya 16 Bora Public Speaking
βœ… Wanafunzi 2 wamefika hatua ya Robo Fainali Public Speaking
βœ… Mwanafunzi 1 amefika hatua ya Nusu Fainali Public Speaking

Mafanikio haya ni ushahidi wa juhudi, nidhamu, ujasiri wa wanafunzi wetu na mwongozo bora wa walimu wetu, na wazazi.

Tunawapongeza wanafunzi wote waliowakilisha shule kwa heshima kubwa na kuonesha uwezo wao katika kujieleza, kujenga hoja na uongozi.

πŸ’™πŸ’› Louis Montfort Secondary School – Education for Leadership.

Sports Day 2026! tulishirikiana na wadogo zetu kutoka Montfort Primary School it was a very happy day
31/05/2026

Sports Day 2026! tulishirikiana na wadogo zetu kutoka Montfort Primary School it was a very happy day

sportsday2026
29/05/2026

sportsday2026

Happy mothers Day  #2026
10/05/2026

Happy mothers Day #2026

Address

Yombo Vituka
Dar Es Salaam

Telephone

+255788465691

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Louis Montfort Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category