02/04/2022
Leo nimeumwa mpaka nimekoma ubishi๐๐๐
Ama kweli! Sikio la kufa halisikii dawa.
Mwili wangu unapata shida ninapokunywa kinywaji cha baridi usiku
Ila kutokana na kupenda kinywaji hicho 'x' imetokea nimekutana nacho usiku..
...tena kikiwa cha baridi na hali yangu naijua.
Lol! Bila kujali mi nikapiga vizuri tu, hee Sasa hapa nilipo nahemea juu juu.
Kumbe ndio maana wazinzi ni ngumu kuacha, au welevi ni ngumu kuacha, au wapiga punyeto ni ngumu kuacha...daah!
Lakini hivyohivyo watu wanene ni ngumu kuacha vitu vinavyowaongezea unene. Ila leo..
..naamini utaacha kujiongezea unene Kwa kujua haya nitakayokueleza hapa
Unene uliopitiliza unaleta athari kubwa Sana kwenye mishipa ya damu na hasa ile iliyopo sehemu za chini za mwili.
Unene huo unazibana mishipa hio mpaka kuzuia damu isipite kutoka sehemu za chini kuja juu.
Damu hii inayozuiliwa inajikusanya na kutengeneza vipele vinavyokua katika sehemu za haja kubwa (ndani, mlangoni na nje)
Vinyama hivi wengi wanavijua k**a bawasili na wengine wakiviita mgoro.
Na kundi kubwa la watu wakishapatwa na hali hio hawasemi, wanakaa na Hilo tatizo na k**a ni......
.... mwanamke Kuna style za kufanya mapenzi atakuwa hazitaki kabisaaa kuhofia kuonekana kinyama hicho.
Na inafika mahali anaamua kwenda hospitali kukikata hali ambayo haitatui Hilo tatizo kwasababu hajaondoa mzizi wa tatizo, kitaota tena.
Sasa leo nataka nikuambie namna Pekee ya kuondokana na adha hii Kwa njia rafiki bila kutumia upasuaji wala dawa za kemikali.
Kuipata njia hio nicheki WhatsApp Sasa hivi niandikie njia rafiki
0655415322