Paradigms Schools

Paradigms Schools PARADIGMS SCHOOLS NI SHULE ZA PRIVATE
-PARADIGMS PRIMARY SCHOOL
-PARADIGMS ISLAMIC SECONDARY SCHOOL

PARADIGMS SCHOOLS NI PRIVATE SCHOOLS ZENYE SHULE YA PARADIGMS NURSERY & PRIMARY SCHOOL NA PARADIGMS ISLAMIC SECONDARY AND HIGH SCHOOL

PARADIGMS NURSERY & PRIMARY SCHOOL
KUNA NAFASI CHACHE ZA KUJIUNGA DARASA LA KWANZA MPAKA LA TATU NA DARASA LA TANO NA LA SITA

PARADIGMS ISLAMIC SECONDARY AND HIGH SCHOOL
KUNA NAFASI CHACHE ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA NA KIDATO CHA MBILI
TUNA TAHASUSI ZA PCB, PCM,PGM,CBG, EGM,HGL,HKL,HGE NA ECA

26/05/2026
Matukio katika picha Paradigms Schools elimu ya  awali na msingi katika mafunzo mbalimbali maeneo ya madarasa ya paradig...
07/05/2026

Matukio katika picha Paradigms Schools elimu ya awali na msingi katika mafunzo mbalimbali maeneo ya madarasa ya paradigms schools.

Mafunzo kwa vitendo ni miongoni mwa nguzo zetu kuu za kufundishia...

Karibu sana paradigms schools.

🌟 Kila siku ni nafasi mpya ya kucheza, kujifunza na kugundua vipaji! Paradigms Schools tunahakikisha watoto wetu wa chek...
07/05/2026

🌟 Kila siku ni nafasi mpya ya kucheza, kujifunza na kugundua vipaji! Paradigms Schools tunahakikisha watoto wetu wa chekechea wanakua katika mazingira yenye furaha na malezi bora. πŸ«πŸ’‘

πŸ‘‰ Mlete mtoto wako Paradigms Schools na mpe mwanzo wenye maana kwa safari yake ya kielimu.

Mashindano ya kusoma Quruan Tukufu paradigms Islamic secondary school. yaliyofanyika tarehe 24/04/2026, katika  ukumbi w...
25/04/2026

Mashindano ya kusoma Quruan Tukufu paradigms Islamic secondary school. yaliyofanyika tarehe 24/04/2026, katika ukumbi wa paradigms. Ikiwa ni katika kuwaandaa watoto katika mashindano ya kitaifa na ki dunia pamoja na kuhakikisha tunawalea watoto katika misingi ya kidini na maadili mema , matukio katika picha.
Mlete mwanao apate elimu bora na malezi yampasayo katika kujifunza.

Matukio katika picha kwenye mechi ya kirafiki kati ya paradigms Islamic secondary school na Veta Paradigms Institute Dar...
23/04/2026

Matukio katika picha kwenye mechi ya kirafiki kati ya paradigms Islamic secondary school na Veta Paradigms Institute Dar es salaam iliyochezwa viwanja vya paradigms Bonyokwa kimara, Ubungo, Dar es salaam.

Matukio katika picha Paradigms Schools kwenye mashindano ya umitashumita, mwenyeji wa mashindano haya ni Paradigms Schoo...
22/04/2026

Matukio katika picha Paradigms Schools kwenye mashindano ya umitashumita, mwenyeji wa mashindano haya ni Paradigms Schools, na michezo yote imechezwa katika viwanja vya Paradigms. Endelea kutufatilia kwa taarifa zaidi...

Address

KIMARA BONYOKWA
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Paradigms Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Paradigms Schools:

Shortcuts

Share

Category