30/04/2026
Mito Ya Baraka TV Online 2 likes. " : Nguvu ya Muda,Mifumo Na Uwajibikaji | Mwl.Elizabeth Samoja | Trh 29/04/2026 | MYB Church Hq"
This page is special for spreading the teaching of Word of God from different ;Preacher,teacher of W
30/04/2026
Mito Ya Baraka TV Online 2 likes. " : Nguvu ya Muda,Mifumo Na Uwajibikaji | Mwl.Elizabeth Samoja | Trh 29/04/2026 | MYB Church Hq"
Yesu yu karibu kurudi.Tetesi ya vita Kila mahali.Maasi kuongezeka
17/01/2024
✂️ my Lord 15 seconds · Clipped by AtBAKP Blessed fml · Original video "ROSETTE NGOIE FT. KINGS MM - NEVER GIVE UP ON ME" by Rosette Ngoie
Watoto hawa wameimba vizuri mno.Mungu aikuze huduma yao
13/09/2022
07/09/2022
somo: *Chumba cha kusubiria.*
thème: *Salle d'Attente*
👇🏿👇🏿👇🏿
MAHUBIRI : SALLE D'ATTENTE (CHUMBA CHA MASUBIRIO) by Albert Byenda Mze
Happy new month all friends of ONLY Gospel Tz
🧎🏽♀️🧎🏽♀️Baba katika jina la Yesu ninaomba neema ya kuendelea kukesha mwezi huu tena nikiwa tayari kwa ujio wako Yesu Kristo.
Nisaidie baba kiuno changu kiwe kimefungwa muda wote
Niwezeshe baba taa yangu iwe inawaka muda wote
Baba ninaomba septaember hii na kuendelea jina langu liendelee kuwepo kwenye kitabu chako cha uzima
Ninaomba neema BWANA YESU ukija usiniache mfalme mwema
Roho wako Mtakatifu aendelee kuwa ndani mwangu akinielekeza niweze kufika kwako
Ufalme wako wa mbinguni nautamani, sitaki kuukosa baba
Naahukuru kwa Uzima wa milele uliouweka ndani mwangu
Baba ninaomba neema
Kati ya wateule nisikosekane
Kati ya watakaokuwepo katika karamu ya mwanakondoo nisikosekane
Kati ya watakaokulaki mawinguni nisikosekane
Kati ya watakaotawala miaka 1000 nisikosekane
Kati ya watakao pewa miili mipya na majina mapya nisikosekana
Baba ninaomba unisaidi 🧎🏽♀️🧎🏽♀️
Rehema singer wanapatikana Mito ya BARAKA church. Kariakoo jangwani
Umuhimu wa siku moja