chonzoxde

chonzoxde Sport news

Kiungo mkabaji Sadio Kanoute, leo amerejea mazoezini baada ya kupona maumivu ya bega aliyopata katika mchezo wa Ngao ya ...
05/10/2021

Kiungo mkabaji Sadio Kanoute, leo amerejea mazoezini baada ya kupona maumivu ya bega aliyopata katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga Septemba 25, mwaka huuKanoute raia wa Mali amekosa mechi mbili za Ligi Kuu dhidi ya Biashara United na Dodoma Jiji kutokana na kuwa majeruhi
"

Muite UCHE ONSWUASONAYA, aliipenda na kuijua SIMBASC tulipocheza na Plateau United Msimu uliopita kwenye mashindano ya C...
12/09/2021

Muite UCHE ONSWUASONAYA, aliipenda na kuijua SIMBASC tulipocheza na Plateau United Msimu uliopita kwenye mashindano ya Caf Champions League
Uche kwa sasa ni Mchezaji wa Rivers United ambao leo wanacheza na YangaUche anasema SIMBASC imekamilika katika kila idara alafu Mashabiki wao wazuri na Jezi zao nzuri ana ndoto siku Moja achezee SIMBA SC Mabingwa wa nchi
HAPO BAADAE UCHE ATAKUWA UWANJANI KUIWAKILISHA RIVERS UNITEDTUNAMTAKIA UCHE MCHEZO MWEMA.😂🤣

"
Follow

Wawakilishi wa Zanzibar katika Ligi ya mabingwa Afrika KMKM, leo jumamosi watakuwa uwanja wa Amaan kupepetana na Al-Itti...
11/09/2021

Wawakilishi wa Zanzibar katika Ligi ya mabingwa Afrika KMKM, leo jumamosi watakuwa uwanja wa Amaan kupepetana na Al-Ittihad Club kutoka Libya katika mechi ya awali ya Ligi hii
Mtanange huu utaushuhudia Live kupitia kuanzia saa 10:15 jioni
Kwa kifurushi cha shillingi 20,000 unatazama mchezo huu
"
Follow

Address

Mbeya
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when chonzoxde posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to chonzoxde:

Shortcuts

Share

Category