Winfredy Mfilinge

Winfredy Mfilinge Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Winfredy Mfilinge, Education, Mbezi Beach Shaurimadai Street near Stanford House, Dar es Salaam.

Mambo ya kuzingatia unaponunua Ardhi isiyopimwa
15/12/2023

Mambo ya kuzingatia unaponunua Ardhi isiyopimwa

Kupatana pande zote mbili za mgogoro wa ardhi ni muhimu sana kabla ya kwenda mahak**ani. Kupatana huku kunaweza kufanywa...
11/03/2023

Kupatana pande zote mbili za mgogoro wa ardhi ni muhimu sana kabla ya kwenda mahak**ani. Kupatana huku kunaweza kufanywa na pande zenyewe mbili au kwa kumwita msuluhishi wanayemwamini.

Heri ya siku ya wanawake duniani.
08/03/2023

Heri ya siku ya wanawake duniani.

Bila shaka umekuwa na jumapili njema.
26/02/2023

Bila shaka umekuwa na jumapili njema.

MAJOR CITIES IN AFRICAAccording to the ranking report of Knight Frank 2021/2022. Dar es Salaam was ranked the 4th  witho...
24/02/2023

MAJOR CITIES IN AFRICA

According to the ranking report of Knight Frank 2021/2022. Dar es Salaam was ranked the 4th without a view of Tanzanite Bridge.

Shughuli zote za kiuchumi zinazolenga kujipatia kipato na mali zina uhusiano fulani na ardhi.
23/02/2023

Shughuli zote za kiuchumi zinazolenga kujipatia kipato na mali zina uhusiano fulani na ardhi.

Mvamizi akivamia eneo lako, ni muhimu kuchukua hatua za kisheria mapema sana. Nasisitiza NI HATUA ZA KISHERIA DHIDI YA M...
22/02/2023

Mvamizi akivamia eneo lako, ni muhimu kuchukua hatua za kisheria mapema sana. Nasisitiza NI HATUA ZA KISHERIA DHIDI YA MVAMIZI k**a vile kutafuta haki mahak**ani.

Mount KilimanjaroTANZANIA
20/02/2023

Mount Kilimanjaro
TANZANIA

19/02/2023

Happy Sunday

Happy Valentine to everyone.
14/02/2023

Happy Valentine to everyone.

Aina ya majirani wanaomzunguka mmiliki wa ardhi husika ni muhimu sana kwa sababu majirani wanaweza kuamua hatima ya mais...
12/02/2023

Aina ya majirani wanaomzunguka mmiliki wa ardhi husika ni muhimu sana kwa sababu majirani wanaweza kuamua hatima ya maisha ya baadaye ya mmiliki. Kupitia kisa hiki katika Biblia, Nabothi alipoteza maisha yake Kwa sababu ya aina ya jirani aliyekuwa naye karibu na shamba lake la mizabibu.

Jirani yake Mfalme Ahabu alilipenda eneo la Nabothi na akataka amwachie eneo lile na yeye ampe shamba lingine au amlipe fedha. Na sababu yake kubwa ilikuwa ni kwa sababu shamba la Nabothi liko jirani na nyumba yake ya kifalme. Na Ahabu alitaka ambadilishie eneo lingine au alinunue kwa fedha yoyote ambayo Nabothi angetaja ili mradi yeye alipate shamba. Lakini Nabothi alikataa kumpa Ahabu shamba kwa sababu lile shamba lilikuwa ni urithi wa baba zake. Kilichofuata, endelea kusoma 1Wafalme 21: 5-27.

USIMAMIZI MZURI WA JENGO/ MILKI KUUNi ile timu ya usimamizi inayohakikisha;1. Hakuna au Kuna kiwango kidogo sana cha naf...
09/02/2023

USIMAMIZI MZURI WA JENGO/ MILKI KUU

Ni ile timu ya usimamizi inayohakikisha;

1. Hakuna au Kuna kiwango kidogo sana cha nafasi ambazo hazijajazwa na wapangaji (Chini ya 5%)

2. Wapangaji wana furaha na wameridhika.

Address

Mbezi Beach Shaurimadai Street Near Stanford House
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Winfredy Mfilinge posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category