03/06/2026
ππ Kwa kweli imependeza!
Kwa kuwa watoto wetu si wachoyo, wanawakaribisha nanyi muonje matunda ya furaha yao. ππ½οΈ
Mambo ya Class Party hayo! Pilau tamu, nyama kwa wingi, vinywaji na burudani ya kutosha. Hatuwi wanyonge kabisa! ππ
Karibuni wazazi wetu wapendwa muungane na watoto wetu katika kusherehekea mafanikio yao na kufurahia siku hii maalum pamoja.
π« Risechamp School β Mahali ambapo elimu, malezi na furaha hukutana.