18/06/2023
Uongozi wa chuo cha St. Mary's Training college kilichopo BUGURUNI - SHELI unapenda kuwatangazia muhula mpya wa masomo ambao utaanza tarehe 03.07.2023 katika kozi zifuatazo
*✓Full hotel management
*✓ Full secretarial course
* ✓Nursery teaching ( English medium)
*✓ Tourism & Tour guide
Front office and Office operation
* ✓Information and communication technology(IT).
* ✓Mapambo na Urembo.
Course hizi ni mwaka mmoja. Miezi tisa darasani na miezi mitatu field.
Pia chuo chetu kinatoa huduma ya
* ¶ENGLISH COURSE
* ¶COMPUTER COURSE
* ¶PC & QT.
St. Mary's tunakuhaidi kukutafutia field pamoja na ajira Mara utakapohitimu kozi mojawapo.
Ada zetu ni nafuu...Wanaotoka mkoani HOSTEL zinapatikana.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo.
0673316931/0752256025
WOTE MNAKARIBISHWA