The Social Media academy

The Social Media academy You Have Digital Dreams. We Make Them Come True Through Our Different Digital Courses with the use of Swahili language.

Wewe unajua kweli kutengeneza mamlaka?
15/05/2024

Wewe unajua kweli kutengeneza mamlaka?

Haya maswali yatakuongoza katika utengenezaji wa content za huduma/bidhaa yako mtandaoni📌
27/02/2024

Haya maswali yatakuongoza katika utengenezaji wa content za huduma/bidhaa yako mtandaoni📌

Darasa la Digital Influence like A Pro linalofanyika kwa mwaka mara moja tu liko tayari na linakujia hivi karibuni. Je u...
07/02/2024

Darasa la Digital Influence like A Pro linalofanyika kwa mwaka mara moja tu liko tayari na linakujia hivi karibuni.

Je uko tayari?

Mwezi huu wa pili uanze KIBABE SANA📌💪🏾K**a hujui nini u-post kwenye page yako, hii ni KWAAJILI YAKO🫵🏾
30/01/2024

Mwezi huu wa pili uanze KIBABE SANA📌💪🏾

K**a hujui nini u-post kwenye page yako, hii ni KWAAJILI YAKO🫵🏾

Ili kuongeza engament, hivi ni vitu muhimu vya kufanya baada  ya kutuma post yako mpya mtandaoni. Je tumekusaidia?
15/01/2024

Ili kuongeza engament, hivi ni vitu muhimu vya kufanya baada ya kutuma post yako mpya mtandaoni.

Je tumekusaidia?

Nani inamkuta hii muda huu? Tafadhali, usiache kuuza ujuzi wako kwasababu hupati likes, au comments. Siku ya kutoboa mta...
07/12/2023

Nani inamkuta hii muda huu?

Tafadhali, usiache kuuza ujuzi wako kwasababu hupati likes, au comments.

Siku ya kutoboa mtandaoni itakufikia k**a utani. Na wapo watu hawa-like au ku-comment kwenye kazi yako ila wanafatilia unachokifanya☺️

Usikate kamba njiani😊

Vitu gani vitano vingine umewahi kuvifanya ulipoanza kutumia mitandao?
22/11/2023

Vitu gani vitano vingine umewahi kuvifanya ulipoanza kutumia mitandao?

Tuambie hapa chini, AI tool gani unaenda kuanza kutumia😎?
12/11/2023

Tuambie hapa chini, AI tool gani unaenda kuanza kutumia😎?

Hivi ndivyo namna ambayo IDRIS SULTAN anaweza kujitofautisha kwenye mitandao ya kijamii.
06/11/2023

Hivi ndivyo namna ambayo IDRIS SULTAN anaweza kujitofautisha kwenye mitandao ya kijamii.

Hivi ndivyo ambavyo Ndg. Jokate Urban Mwegelo anajitengenezea strong personal brand kwa njia ya mtandao.
30/10/2023

Hivi ndivyo ambavyo Ndg. Jokate Urban Mwegelo anajitengenezea strong personal brand kwa njia ya mtandao.

Nani anakubaliana na sisi? 😂Ujasiriamali ni mzuri sana ila UKISIMULIWA.
21/10/2023

Nani anakubaliana na sisi? 😂

Ujasiriamali ni mzuri sana ila UKISIMULIWA.

Mtandaoni igiza k**a unaongea na watoto wadogo.Andaa chakula, kisage, walishe, kazi yao wao ni kumeza tu sio KUFIKIRI. T...
12/10/2023

Mtandaoni igiza k**a unaongea na watoto wadogo.

Andaa chakula, kisage, walishe, kazi yao wao ni kumeza tu sio KUFIKIRI.

Tunachomaanisha ni maudhui yako, hakikisha yanaelezea umuhimu wa bidhaa zako. Usifikirie watu wanajua, HAWAJUI.

Elezea kila inapobidi namna mbalimbali wanaweza faidika na huduma yako. Usiwafanya wafikiri.

Address

Mikocheni
Dar Es Salaam
1012

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Social Media academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category