Muhajirinakeko

Muhajirinakeko Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Muhajirinakeko, Education, P. Ô. Box19845, Dar es Salaam.

Tunakupa Elimu ya msingi ya Uislamu ili uweze kujua Msingi wa dini yako,pamoja na kukupatia taarifa mbalimbali za kiislam na za Al madrasat Muhajirina keko machungwa.Karibu sana.

Assalaam alaykum warahmatu Llahi Wabarakaatuh.Maisha ya binadamu yamejengwa kwa elimu.Allah subhanahu wataala alipomuumb...
20/04/2025

Assalaam alaykum warahmatu Llahi Wabarakaatuh.Maisha ya binadamu yamejengwa kwa elimu.Allah subhanahu wataala alipomuumba baba yetu Adam alimpa elimu ndipo akamdhihirisha kwa Malaika.Mtume wetu Muhammad S.A.W kabla ya kupewa utume kwanza alisomesha nae akatuambia "KUTAFUTA ELIMU NI LAZIMA KWA MUISLAM MWANAMME NA MWANAMKE".Kwa hiyo hamna maisha wala Ibada bila ya Elimu.Ili kujifunza mengi katika masuala ya kielimu ungana nasi kwenye blog yetu kwa kubofya link hii".
https://muhajirinakekomachungwa.blogspot.com/2025/03/nia-ya-kuoga-ili-kuondoa-janabahedhi-na.html

ELIMU HII
21/03/2025

ELIMU HII

Tumeona kuwa mwanamme anahusika na janaba tu lakini mwanamke anahusika na majosho ypute matatu,Janaba,Hedhi na Nifasi. NIA YA JANABA Naway...

Yajue mambo yaliyo haramu kwa mwenye Janaba,Hedhi na Nifasibofya link hapo chini
19/03/2025

Yajue mambo yaliyo haramu kwa mwenye Janaba,Hedhi na Nifasi
bofya link hapo chini

Tumeelewa Janaba nini na hutokea katika mazingira yapi,lakin pia tumelewa Hedhi na Nifasi pamoja na mazingira yake. Sasa ni waka...

Address

P. Ô. Box19845
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muhajirinakeko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Muhajirinakeko:

Shortcuts

Share

Category