Chimala Secondary School

Chimala Secondary School Ada Zetu A level bweni mil 1.2
kutwa ni Laki 6
O level Ada kutwa ni Laki 5
hostel ni Mil 1.1

Mkuu wa shule wa chimala sekondari anawatangazia nafasi ya kujiunga kidato cha tano kwa combinesheni za Hkl, HGK,HGL na ...
13/12/2022

Mkuu wa shule wa chimala sekondari anawatangazia nafasi ya kujiunga kidato cha tano kwa combinesheni za Hkl, HGK,HGL na waliokosa krediti tatu wanapokelewa kwa ajili ya kurudia mitihani.ADA ni Tsh.1,200,000/= kwa mwaka kwa bweni ada hiyo hulipwa kidogokidogo kadili ya makubaliano .Ada ya kutwa Tsh.600,000/=vilevile shule inanafasi kwa vidato vyote na inatangaza nafasi ya kidato cha kwanza kwa Ofa ya Tsh1,100,000/= na kutwa Tsh.500,000/= kwa mwaka watakao kaa kutwa watatafutiwa vyumba vya kupanga.kituo cha kulisiti kwa pc,na QT kipo.mawasiliano piga simu No. 0769049620,0784536464,0657224715,0744550015

Address

Chimala Mbeya
Chimala

Opening Hours

Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chimala Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share