Julius Daudi

Julius Daudi Motivation for further discussions with multiple people

Mpira lazima uwe salama kwa kila mmoja. Mtu yeyote asibugudhiwe kutokana na hali yake au jinsia yake.Mpira ni furaha, mp...
20/04/2026

Mpira lazima uwe salama kwa kila mmoja. Mtu yeyote asibugudhiwe kutokana na hali yake au jinsia yake.
Mpira ni furaha, mpira ni amani, mpira ni burudani. Tuungane sote kulinda mazingira ya mpira kuwa salama tokea chini kabisa shule za kufundisha mpira mpaka kiwango cha Timu za Taifa..

03/03/2026

Let's pray for the world of Peace....

22/02/2026

Mpira ungechezeshwa Kwa Haki bin Haki Namungo 1:1 Yanga paka dakika hizi 91+

22/02/2026
It was the Berberian vs Kagera sugar Championship πŸ†πŸ†πŸ†πŸ† At Gilbert Bayi stadium....
06/02/2026

It was the Berberian vs Kagera sugar Championship πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†

At Gilbert Bayi stadium....

Simba wanavowakazia Hawa jamaa utafikiri ushindi huo wanakazi nao
01/02/2026

Simba wanavowakazia Hawa jamaa utafikiri ushindi huo wanakazi nao

Ukitoa hoja yako na ukapata mchango hasi hasa matusi jiamini na songa mbele. Hivyo umesema ukweli. Huo ndo ukweli.Kinyum...
26/01/2026

Ukitoa hoja yako na ukapata mchango hasi hasa matusi jiamini na songa mbele. Hivyo umesema ukweli. Huo ndo ukweli.

Kinyume chake watakusifia sana, ujitafakari. Hata mbu huwa anapigiwa makofi ila lengo la makofi hayo huwa ni kumuua....

11/01/2026

Thanks Guys for this 1k

No cheating I will follow you back from Tuesday...

Match commissioner seminar
11/01/2026

Match commissioner seminar

08/01/2026

Kwa mwaka 2025 Utajiri wako umeongezeka?

2025 unaweza kuwa mwaka wa mafanikio zaidi tangu kuanzidhwa kwa Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE) lianzishwe mnamo mwaka 1998.

Takribani wawekezaji wapatao 800,000 utajiri ambao wapo DSE wamefanikiwa kuongeza utajiri wao (Paper Wealth) ambao kwa pamoja ni wameongeza TZS 6.12trl sekta ya benki ikiongoza.

Kampuni tatu kutoka sekta ua benki ambazo ni NMB Bank PLC, KCB Group (ambayo imejiorodhesha NSE na DSE) pamoja na CRDB ndiyo zilifunga mwaka k**a kampuni kinara kwa mtaji wa soko (Market Capitalization) wakati soko linafungwa mnamo Jumatano 31 Disemba 2025.

Kwa mwaka 2025, NMB Bamk PLC hisa zake zilipanda kutoka TZS 5,350 hadi TZS 8,410 na kuifanya kuwa kampuni yenye mtaji kubwa (Most Valuable) kwa mtaji wa soko wa TZS 4.2 trl

KCB Group kutoka Kenya hisa zake zilipanda pia kutoka TZS 780 hadi kufikia TZS 1,350 kufanya mtaji wake wa soko kufikia TZS 4.01trl kutoka mtaji wa TZS 2.31trl mwaka 2024.

Benki kubwa kuliko zote Tanzania kimtaji, CRDB Group ilishika nafasi ya tatu kwa ukubwa wa mtaji sokoni kwa kufunga na mtaji wa TZS 3.99trl na ikijinasua kutoka nafasi ya tano hadi ya tatu. Januari 2025 hisa ya CRDB ilikuwa ikiuzwa TZS 670 na ilifunga mwaka kwa bei ya TZS 1,530.

Mara nyingi tunaposema uwekeze tunataka uwe katika nafasi ya kuongeza utajiri wako.

Usichokijua, hakuna tajiri mkubwa duniani ambaye hamiliki hisa, kwanzia hawa matajiri wetu wa ndani mpaka wa huko duniani wengi wanamiliki hisa.

Je, umejipangaje kwa mwaka 2026 hasa katika kukuza msuli wako wa uchumi kupitia uwekezaji wa hisa?

Address

Lunga
Chalinze

Telephone

+255756750608

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Julius Daudi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share