TEHAMA Academy

TEHAMA Academy Developing kids (8-13) talent and passion in technology (ICT). General Computer Trainings!

Eid Mubarak!        โค๏ธ
21/03/2026

Eid Mubarak!

โค๏ธ

Jifunze matumizi ya Computer kwa urahisi! ๐Ÿ’ปUtajifunza Computer Basics, Computer maintenance na mengine mengi.๐Ÿ“ž Wasiliana...
06/03/2026

Jifunze matumizi ya Computer kwa urahisi! ๐Ÿ’ป
Utajifunza Computer Basics, Computer maintenance na mengine mengi.
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: 0710493309 au 0612317922
Karibu.

Elimu ya Computer ni kwa kila mtu.Njoo ujifunze nasi.
23/02/2026

Elimu ya Computer ni kwa kila mtu.

Njoo ujifunze nasi.

Mafunzo ya Computer kwa kila mtu.Karibu TEHAMA Academy.Tupigie: 0710493309  au 0612317922
16/02/2026

Mafunzo ya Computer kwa kila mtu.
Karibu TEHAMA Academy.

Tupigie: 0710493309 au 0612317922

Bado tunaendelea kupokea wanafunzi wa Computer Maintenance Course.Jiunge nasi leo upate ujuzi adimu.๐—ง๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚:  ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฐ...
09/02/2026

Bado tunaendelea kupokea wanafunzi wa Computer Maintenance Course.
Jiunge nasi leo upate ujuzi adimu.
๐—ง๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚: ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฐ๐Ÿต๐Ÿฏ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿต ๐—ฎ๐˜‚ ๐Ÿฌ๐Ÿฒ๐Ÿญ๐Ÿฎ๐Ÿฏ๐Ÿญ๐Ÿณ๐Ÿต๐Ÿฎ๐Ÿฎ

Karibu ๐“๐„๐‡๐€๐Œ๐€ ๐€๐œ๐š๐๐ž๐ฆ๐ฒ kwa mafunzo yote ya Computer. ๐Ÿ˜Š

๐‰๐ข๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ณ๐ž ๐ค๐ฎ๐ญ๐ž๐ง๐ ๐ž๐ง๐ž๐ณ๐š ๐‚๐จ๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ญ๐ž๐ซ ๐ฅ๐ž๐จ!TEHAMA Academy tunatoa mafunzo ya vitendo ya utengenezaji na matengenezo ya computer. H...
02/02/2026

๐‰๐ข๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ณ๐ž ๐ค๐ฎ๐ญ๐ž๐ง๐ ๐ž๐ง๐ž๐ณ๐š ๐‚๐จ๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ญ๐ž๐ซ ๐ฅ๐ž๐จ!

TEHAMA Academy tunatoa mafunzo ya vitendo ya utengenezaji na matengenezo ya computer. Hii ni kwa wanaoanza na wanaotaka kuongeza ujuzi wao.

Jiandae kupata maarifa yatakayokuwezesha kujiajiri au kupata ajira.

๐“๐š๐Ÿ๐š๐๐ก๐š๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฉ๐ข๐ ๐ข๐ž ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ: ๐ŸŽ๐Ÿ•๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ’๐Ÿ—๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐ŸŽ๐Ÿ— / ๐ŸŽ๐Ÿ”๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ‘๐Ÿ๐Ÿ•๐Ÿ—๐Ÿ๐Ÿ

Jumamosi iliyopita, ๐“๐„๐‡๐€๐Œ๐€ ๐€๐œ๐š๐๐ž๐ฆ๐ฒ ilipata nafasi ya kutembelewa na ๐“๐ž๐œ๐ก ๐’๐ญ๐š๐ซ ๐ˆ๐ง๐ง๐จ๐ฏ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐‹๐š๐›.Ziara hii ilikuwa fursa adh...
22/01/2026

Jumamosi iliyopita, ๐“๐„๐‡๐€๐Œ๐€ ๐€๐œ๐š๐๐ž๐ฆ๐ฒ ilipata nafasi ya kutembelewa na ๐“๐ž๐œ๐ก ๐’๐ญ๐š๐ซ ๐ˆ๐ง๐ง๐จ๐ฏ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐‹๐š๐›.
Ziara hii ilikuwa fursa adhimu kwa wanafunzi wetu kuchanganyika na wageni hao, kubadilishana mawazo, na kujifunza mambo mbalimbali yanayohusiana na teknolojia na ubunifu.
Tunashukuru sana Tech Star Innovation Lab kwa muda wao na maarifa waliyoyashiriki nasi ๐Ÿ™.

๐˜”๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ต๐˜ฆ ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ซ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ฐ ๐“๐„๐‡๐€๐Œ๐€ ๐€๐œ๐š๐๐ž๐ฆ๐ฒ ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ข๐˜ต๐˜ฆ ๐˜ถ๐˜ซ๐˜ถ๐˜ป๐˜ช ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ถ.
Kwa mawasiliano: 0710493309 / 0612317922

Umebanwa na kazi na unahitaji kuongeza ujuzi wa Computer?Usijali, ๐“๐„๐‡๐€๐Œ๐€ ๐€๐œ๐š๐๐ž๐ฆ๐ฒ tutakufundisha kulingana na muda ulio n...
20/01/2026

Umebanwa na kazi na unahitaji kuongeza ujuzi wa Computer?

Usijali, ๐“๐„๐‡๐€๐Œ๐€ ๐€๐œ๐š๐๐ž๐ฆ๐ฒ tutakufundisha kulingana na muda ulio nao.
๐”๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข๐ญ๐ž ๐ค๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฉ๐ข๐ ๐ข๐š ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ - ๐ŸŽ๐Ÿ•๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ’๐Ÿ—๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐ŸŽ๐Ÿ— / ๐ŸŽ๐Ÿ”๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ‘๐Ÿ๐Ÿ•๐Ÿ—๐Ÿ๐Ÿ

Karibuni โ˜บ

TEHAMA Academy tunahakikisha kila mwanafunzi wetu anajua kutumia computer pindi atakapomaliza course.Kwa mawasiliano zai...
15/01/2026

TEHAMA Academy tunahakikisha kila mwanafunzi wetu anajua kutumia computer pindi atakapomaliza course.

Kwa mawasiliano zaidi: 0710493309 au 0612317922
Karibu ujiunge nasi leo.

Kheri ya siku ya Mapinduzi ya Zanzibar .TEHAMA Academy tunaendelea kusajili wanafunzi wapya kwenye mafunzo ya Computer. ...
12/01/2026

Kheri ya siku ya Mapinduzi ya Zanzibar .

TEHAMA Academy tunaendelea kusajili wanafunzi wapya kwenye mafunzo ya Computer.

06/01/2026

Karibu ujifunze nasi katika mwaka mpya wa masomo 2026.

Huu ndo mwaka wa wewe kujifunza na kuweza kutumia Computer.

Usibaki nyuma, karibu sasa ujiunge nasi ๐Ÿ˜Š

Kwa maelezo zaidi tupigie: 0710493309 au 0612317922

Developing kids (8-13) talent and passion in technology (ICT). General Computer Trainings!

Address

Chalinze

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255710493309

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TEHAMA Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to TEHAMA Academy:

Share

Category