Bwawani HIGH School

Bwawani HIGH School Shule hii inamilikiwa na jeshi la MAGEREZA na ilianzishwa mwaka 1978 wakati huo ikiitwa Ubena sekondari ili kutoa elimu ya sekondari kwa askari wa gereza.

26/09/2025

Habari.
Nafasi ya kidato cha kwanza Bwawani sekondari 2026 bado zipo.Mlete mwanao apate elimu na malezi bora.Pia nafasi za kuamia pia bado zipo.Wasiliana nasi 0784762748.
Dar 0753898440.

23/01/2025

Tunawapongeza sana wanafunzi wetu wa kidato Cha nne 2024 Kwa kufanya vizuri na kuweka historia mpya.
Hii ni kutokana na kauli mbiu yetu Education, Discipline and Hospitality .
pongezi pia Kwa uogozi wa Shule, waalimu na wengine wote waliofanikisha hili. Tutaendelea kufanya vizuri zaidi 2025.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shule Ya Bwawani Sekondari   DCP LUHENDE MAKWAIYA (Katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajum...
29/11/2024

Mwenyekiti wa Bodi ya Shule Ya Bwawani Sekondari DCP LUHENDE MAKWAIYA (Katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Shule. Kila kitu kimepangwa kuhakikisha Shule inatoa elimu na malezi Bora Kwa wanafunzi.

Je unawakumbuka hawa? Wengi wao Sasa ni graduates.
23/11/2024

Je unawakumbuka hawa? Wengi wao Sasa ni graduates.

Mkutubi wa Maktaba yetu ndg Bright Mbwilo ameteuliwa na jeshi la Magereza kuwa msemaji mkuu wa timu ya Tanzania Prisons....
18/10/2024

Mkutubi wa Maktaba yetu ndg Bright Mbwilo ameteuliwa na jeshi la Magereza kuwa msemaji mkuu wa timu ya Tanzania Prisons.
Hongera sana.

08/06/2024

Asilimia 60 ya wanafuzi wachaguliwa kidato cha Tano.
Wanafunzi zaidi ya asilimia 60 wa Bwawani sekondari wamechaguliwa kujiunga kidato cha Tano katika mwaka wa masomo 24/25. Katika shule mbalimbali nchini.Tunawapongeza wote kwa juhudi mlizo zionyesha mlipokuwa hapa kwa miaka minne.

RIP ml Mwasanjobe.Tutakumbuka sana mchango wako katika somo la mathematics.Nafahamu wengi wamepitia mikononi mwako hapa ...
31/05/2024

RIP ml Mwasanjobe.Tutakumbuka sana mchango wako katika somo la mathematics.
Nafahamu wengi wamepitia mikononi mwako hapa BWAWANI sec.

03/01/2024

Habari.
Nafasi ya kidato cha kwanza Bwawani sekondari bado zipo.Mlete mwanao apate elimu na malezi bora.Pia nafasi za kuamia pia bado zipo.Wasiliana nasi 0784762748.
Dar 0753898440.

20/04/2023

Mahafari ya kidato cha sita ya mwaka 2023 yatafanyika tarehe 25 April. Tunawakaribisha wote.

09/04/2023

Tunakutakia Pasaka njema yenye amani na furaha kwako na familia yako .

02/04/2023
14/02/2023

Fomu za kuomba nafasi ya kujiunga na kidato cha tano 2023/24 zimeenza kutolewa.Fika shuleni Bwawani sec au wasiliana nasi kwa 0784762748 whatsup. Combination ni HKL,HGL,HGK na CBG.

Address

BOX 01 CHALINZE PWANI
Chalinze

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bwawani HIGH School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Bwawani HIGH School:

Shortcuts

Share

Category