17/02/2019
SAMAIL COLLEGE OF TECHNOLOGY AND INDUSTRY
Kinawatangazia wananchi wote kwamba chuo kinatoa mafunzo mbali mbali katika ngazi ya Cheti, Diploma na kozi fupi fupi, Chuo kipo Gombani Chake-Chake Pemba, mkabala na uwanja wa Gombani Stadium, Chuo kimesajiliwa na NACTE No. REG/BTP/O95P. Chuo kina walimu wazoefu na kipo katika mazingira mazuri yakujisomea.
Pia chuo kinaendesha mafunzo ya lugha ya kiengereza kwa watoto wadogo yaani Junior English Speaking Program.
Kozi za cheti zinazotolewa:-
1. Business Administration
2. Procurement and supply
Sifa za muombaji
- awe amemaliza kidato cha nne na kupata D nne au zaidi
Kozi za diploma zinazotolewa:-
1. Business Administration
2. Procurement and supply
Sifa za muombaji
- awe na cheti cha kidato cha Nne na
- awe na cheti cha kidato cha sita au
- cheti cha fani alioomba kutoka katika chuo kinachotambulika na serikali