Farahedy Secondary School

Farahedy Secondary School Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Farahedy Secondary School, High School, P. O. BOX 220 Chake Chake Pemba, Chake Chake.

17/12/2022
07/10/2022
Mahafali ya 6 ya Wanafunzi wa kidato cha nne ya Skuli ya Sekondari ya  Farahedy iliyopo Mwanafatima Mkoroshoni Chake Cha...
20/11/2019

Mahafali ya 6 ya Wanafunzi wa kidato cha nne ya Skuli ya Sekondari ya Farahedy iliyopo Mwanafatima Mkoroshoni Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa mkoa wa kusini Pemba Mh Hemed Suleiman Abdallah

31/10/2018

Jumuiya ya Kiislamu ya Istiqaama Tanzania ilipata usajili rasmi nchini Tanzania tarehe 3 February 1993. Jumuiya inalenga zaidi kuendeleza dini ya kiislamu

23/02/2015

Hello

20/01/2015

It is specially to provide education to the society.

Jamani tuiungeni mkono skuli yetu ili watoto wetu wapate kupata masomo bora na sio bora masomo
27/12/2014

Jamani tuiungeni mkono skuli yetu ili watoto wetu wapate kupata masomo bora na sio bora masomo

Mwanafunzi wa Farahedy akipokea zawadi katika mahafali ya kwanza ya skuli hiyo yaliofanyika katika skulini hapo  Wa mwan...
20/12/2014

Mwanafunzi wa Farahedy akipokea zawadi katika mahafali ya kwanza ya skuli hiyo yaliofanyika katika skulini hapo
Wa mwanzo kulia ni Bwana Rashid Salim Alliy ambaye ni Coordinator wa skuli hio.
Wa pili ni Sheikh Zahor Saleh Omar Ambae ni Director wa skuli hiyo wanaofuatia ni baadhi ya walimu wa skuli hiyo.

Huyu ni mwalimu wa Farahedy akipokea zawadi
20/12/2014

Huyu ni mwalimu wa Farahedy akipokea zawadi

20/12/2014

Address

P. O. BOX 220 Chake Chake Pemba
Chake Chake
255

Telephone

+255777420093

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Farahedy Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Farahedy Secondary School:

Shortcuts

Share

Category