HerbX- Tanzania

HerbX- Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HerbX- Tanzania, Educational consultant, Bunda.

August , 2022
28/08/2022

August , 2022

Kuwa na chanzo kimoja Cha Kipato ni Hatari.Siku kikipata changamoto unateseka .Naelewa ninachosema.Nimeshapitia .Ndiyo m...
14/08/2022

Kuwa na chanzo kimoja Cha Kipato ni Hatari.

Siku kikipata changamoto unateseka .

Naelewa ninachosema.

Nimeshapitia .

Ndiyo maana Huwa sipendi kufanya kosa linapokuja suala la kujenga chanzo kipya Cha Kipato.

Leo nataka nikusaidie wewe japo taarifa tu za namna gani unaweza ukajenga Kipato chako kupitia Herbx International.

Ninanafasi chache sana.

Masharti ni uwe na Mtaji walau wa 170,000/=
kwa sababu hii ni Biashara na sio Upatu. Uwe tayari kujifunza

Bonyeza link hii Sasa hivi na masomo yatakujia jioni ya Leo.

Tukutane darasani.

https://chat.whatsapp.com/EZcgPQdELkw8zO5H9emruG

Kheri ya Siku ya Wanawake wote Waoambanaji
08/03/2022

Kheri ya Siku ya Wanawake wote Waoambanaji

Moja ya changamoto kubwa kwa vijana wengi siku hizi ni suala la Upungufu wa nguvu za Kiume .Mitindo ya maisha /life styl...
27/02/2022

Moja ya changamoto kubwa kwa vijana wengi siku hizi ni suala la Upungufu wa nguvu za Kiume .

Mitindo ya maisha /life styles inachangia sana kuongeza ukubwa wa tatizo hili.

Chakula ,Misongo ya Mawazo,Punyeto kwa muda mrefu hulegeza misuli ya uume pamoja na mambo mengine.

Hali hii inaleta fedheha sana kwenye mahusiano ya mapenzi ikiwemo mmoja kutofurahia tendo .

Fikiria umemuandaa mpenzi wako kwa ajiri ya show ,akawa tayari ,na ukianza show ndani ya dakika 1 au mbili umeshamwaga na uume unalala na usipate hamu tena wakati mwenzio ndiyo ameanza kujisikia raha....Inakera ee?

Inauma sana ..

Taztizo hili linaweza kutibika kwa njia kadhaa ikiwemo kudhibiti aina Fulani ya chakula na kula chakula rafiki kwa afya ya mwanaume.

Kuna mazoezi maalumu pia ambayo unaweza kuyafanya(Kegel exercises) na kuimarisha ulegevu wa misuli maalumu ya uume .

Men Plus ni moja ya tiba nzuri kwa tatizo hili.Imetengenezwa kutokana na miti asilia muhimu na Matunda kwa kuzingatia teknolojia ya Ayurveda/Stemcell. Inafanya kazi kwa kushughulika na mfumo wa seli zote muhimu kwa mwanaume na kuziimarisha .

Tumewasaidia wengi sana ndani ya kipindi kifupi na Wewe inaweza kukufaa pia .

K**a una tatizo hili au kumfahamu MTU anayeteseka na tatizo hili msaidia apate Men Plus na atakushukuru sana.

Wasiliana nasi kwa WhatsApp/Simu 0763881352.

25/02/2022

Hello habari rafiki yangu natumaini Unaendelea vizr najua WEWE ni Mpambanaji k**a mimi.Wewe ni Type yangu hakika.

Ninayo furaha kubwa kukujulisha kuwa nmeanza kazi na kampuni ya HERBX INTERNATIONAL kutoka Malaysia kwa muda wangu wa ziada pengine pasipo kuingilia ratiba zangu za kawaida.

Nahitaji kushare na wewe pia ikiwa utakuwa open kujifunza namna ya kujiongezea kipato cha zaidia ......its okay k**a hautakuwa tayari pia. ..

Je tunaweza kulijadili hili??

Unaweza kuwasiliana nami moja kwa moja kwa WhatsApp /Simu +255763881352.

Kuna kampuni zinafanya biashara ya Mtandao ambazo ukijiunga nazo unageu machinga kabisa  na usipokuwa makini mashati yan...
31/05/2020

Kuna kampuni zinafanya biashara ya Mtandao ambazo ukijiunga nazo unageu machinga kabisa na usipokuwa makini mashati yanaweza kupauka wallah.

Mwaka Jana nilifanya kazi na kampuni X ,nilifanya kazi kwa bidii sana lakini malipo yalikuwa hayaendani na bidii ya kazi, Niliamua kuachana nayo kabisa .

Mwaka huu mwezi wa Tatu(2020) nilikutana na kampuni ya SUPERLIFE nikapendezwa sana na Compensation Plan yao. Nikajiunga ,tena kwa hofu ya uzoefu wa mwaka Jana nikaanza na mtaji wa kawaida kabisa wa laki mbili na elfu 75, huwezi amini kwa muda huu naandika ujumbe huu tayari nilisharudisha pesa yangu na faida karibia marambili ya mataji wangu na biashara inakua kwa kasi sana.

Na nimejifunza machache yanayoleta mafanikio huku:-

Kampuni inajali sana jasho la mwanachama.

Kuna zaidi ya njia 7 za kujipatia kipato ukiwa SUPERLIFE.

Mtaji wa kuanza biashara ni mdogo sana ,na hiiinatoa fursa kwa watu wengi zaidi kuanza biashara.

Bidhaa zake ni tishio kwenye eneo la Afya. Zimesaidia na zinazidi kuwasaidia watu wengi zaidi kiafya.

Kuuza bidhaa huku ni uamuzi wa mwisho kabisa. Binafsi sipendi kutembeza bidhaa lakini napata malipo kupitia mikondo mingine.

Rafiki, K**a ulishachoshwa na habari za Network Marketing ukweli ni kwamba ulikutana na Kampuni Isiyotambua Thamani ya Mteja. Nikualike Leo ujiunge na SUPERLIFE na hautajutia maisha yako yote.

K**a utahitaji kujifunza kwa kina na kuchukua hatua wasiliana nami kwa WhatsApp kupitia namba iliyopo hapo chini.

Angalizo: Rafiki,k**a hauhitaji wala usijisumbue ,Tunafanya kazi na watu wanaohitaji mabadiliko yenye tija kwenye maisha yao.

WhatsApp:- +255688706475.(Wakati wowote).

10/05/2020

Hello Everyone there!

Kazi inaendelea. Idadi ya Super masters inazidi kupanda, Hongera kiongozi Petro Damian .Bado hujachelewa ,jiunge nasi Le...
16/07/2017

Kazi inaendelea. Idadi ya Super masters inazidi kupanda, Hongera kiongozi Petro Damian .

Bado hujachelewa ,jiunge nasi Leo.
WhatsApp +0688706475

Network marketing is something to marvel at. Once the seed of the network is sown, all that is left is daily watering an...
14/07/2017

Network marketing is something to marvel at. Once the seed of the network is sown, all that is left is daily watering and care. The network itself is a self propelling force that you cannot control. It's about sharing information about an opportunity. If you believe in this opportunity, it is so hard not to talk to people about it. What the network does is spread this feeling. It is as simple as that.

I get surprised when prospects wonder where they will get the people to join! They make it seem like H2I is looking for a special species. Friends we are looking for you, your friends, and acquaintances. The same people you talk to everyday about the government, deaths, fashion, sports, movies, or just gossip. Only this time, you will get paid for the job! Unbelievable right?

We shall provide the material and train you on what you need to talk about and believe me you will like it. Of course they will like it too. I have not met too many people that hate being paid for sharing information.

Get registered with H2i and start earning for referring. There are people dying to get such liberating information but there is no one to tell them. Be that person. Of course you will not build your network alone and so this invalidates your fear of 'How will I get the people.' But unless you start it, it will never exist.

Shake the Chains of a meagre salary off your wrists along with the pain that comes with it. Don't subject your children to the same unpleasant meagre salary path. It is frustrating. H2I is an investment that has stood the test of time; it's not a get-rich-quick scheme. You need to build your network patiently and consistently. That's where the gem is. We have shared testimonies. Do you not believe them? Do you need a one on one address? Feel free to Contact us. One day we were that side but now we speak with conviction because we have tasted. Come join us and spread the love.

12/07/2017
WE ARE MEN AND WOMEN OF DESTINY:Against all odds,  men and women of destiny will build HELPINGHANDS HANDS INTERNATIONAL ...
12/07/2017

WE ARE MEN AND WOMEN OF DESTINY:
Against all odds, men and women of destiny will build HELPINGHANDS HANDS INTERNATIONAL from Nigeria to the whole world. They shall make it a truly global brand , building human capacity, destroying poverty from lives, giving colours to humanity and beautifying the life of men. I am just one of these great mind made for this vision. Are you one? If yes, let me know you. Say- I BELIEVE IN THE HELPING HANDS VISION AND AM COMMITTED TO MAKING IT A REALITY AGAINST ALL ODD"

WhatsApp me +255688706475 to sign up and join the Visionaries

Address

Bunda

Telephone

+255763881352

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HerbX- Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share