ACT-Bunda Girls Secondary School

ACT-Bunda Girls Secondary School Official page of ACT- Bunda Girls Secondary School

25/12/2025
Karibu shule yetu ni bora nyakati zote.
21/12/2025

Karibu shule yetu ni bora nyakati zote.

10/07/2025

A story of legacy, leadership and learning.

Mheshimiwa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika picha ya p...
25/05/2025

Mheshimiwa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha ya pamoja na Wanafunzi wetu wa Bunda girls secondary school.
Malkia hawa wamekuwa na furaha kukutana na Mheshimiwa.
#

24/04/2025
KIKAO CHA BODI YA 19 SHULE YETU  ACT BUNDA GIRLS SECONDARY SCHOOL. Mhashamu Baba Askofu Dr.George M Okoth ambae pia ni M...
04/04/2025

KIKAO CHA BODI YA 19 SHULE YETU ACT BUNDA GIRLS SECONDARY SCHOOL.
Mhashamu Baba Askofu Dr.George M Okoth ambae pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule ameongoza kikao cha bodi kilichoketi shuleni hapo, kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Maendeleo ya shule na taaluma ya wanafunzi wawapo shuleni hapo.
Mapema kabla ya kikao wajumbe wa bodi wametembelea miundombinu pamoja na miradi inayotekelezwa na shule ili kujiridhisha na huduma inayotolewa shuleni hapo.
Akifungua kikao hicho Mhashamu Baba Askofu ametoa hotuba yake kwa wajumbe kutoka katika kitabu cha samwel 1, 3:1-10 na ujumbe mkuu ukisisitiza wito katika utumishi (Walimu ni wito) Baba Askofu amewatia moyo walimu na kuwaombea kwa kazi kubwa wanayoifanya katika kutoa taaluma kwa wanafunzi.
Aidha Bodi imeadhimia kuboresha maslahi ya watumishi ili kuwatia moyo katika kazi wanayofanya .
Mkuu wa shule Bi Tupone Mwamasage ambae ni katibu wa Bodi ameshukuru wajumbe wa Bodi kwa kuendelea kufanya kazi kuisaidia shule kutimiza adhma yake ya kutoa elimu bora kwa wanafunzi na kuahidi kutoa huduma bora shuleni hapo ,pia ameshukuru shirika la Anglican Aid pamoja na Canon Helen Hoskins kutoka Australia kwa mchango mkubwa waliotoa katika maendeleo ya shule.
Mwenyekiti wa Bodi anawakaribisha wazazi na walezi wote kuwaleta watoto shuleni hapo kujiunga na masomo kuanzia kidato cha kwanza hadi cha Nne.
MUNGU IBARIKI BUNDA GIRLS ,MUNGU IBARIKI DM

04.04.2025

Malikia wetu wakiwa katika mitihani ya majaribio ..Tunawaombea ufaulu mzuri
04/04/2025

Malikia wetu wakiwa katika mitihani ya majaribio ..Tunawaombea ufaulu mzuri

Malkia wetu wakiwa masomoni,karibu Bunda girls
27/03/2025

Malkia wetu wakiwa masomoni,karibu Bunda girls

Wanasayansi wetu wakiwa Maabara .karibu Bunda girls secondary school
10/03/2025

Wanasayansi wetu wakiwa Maabara .
karibu Bunda girls secondary school

Address

Bunda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ACT-Bunda Girls Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to ACT-Bunda Girls Secondary School:

Shortcuts

Share

Category