Jifunze Biashara Ya Mtandao

Jifunze Biashara Ya Mtandao // Kufanikiwa kwenye Biashara ya Mtandao unahitaji Ujuzi Sahihi, Kampuni sahihi na Bidii ya Kazi.//

31/05/2023

Network marketing is more than just sharing products.
It's all about sharing hopes, possibility , community and success

11/03/2023

Mchezaji maarufu wa mpira we kikapu ndugu Michael Jordan aliwahi kusema "π‘΅π’Šπ’Žπ’†π’Œπ’π’”π’‚ π’Žπ’‚π’ˆπ’π’π’Š π’›π’‚π’Šπ’…π’Š π’šπ’‚ 9000 π’Œπ’‚π’•π’Šπ’Œπ’‚ π’Žπ’‚π’Šπ’”π’‰π’‚ π’šπ’‚π’π’ˆπ’–, π’π’Šπ’Žπ’†π’‘π’π’•π’†π’›π’‚ π’Žπ’†π’„π’‰π’Š π’›π’‚π’Šπ’…π’Š π’šπ’‚ 300 π’Œπ’‚π’•π’Šπ’Œπ’‚ π’Žπ’‚π’Šπ’”π’‰π’‚ π’šπ’‚π’π’ˆπ’–, π’π’Šπ’π’Šπ’‚π’Žπ’Šπ’π’Šπ’˜π’‚ π’Žπ’‚π’“π’‚ 26 π’Œπ’–π’˜π’‚ π’π’Šπ’•π’‚π’Šπ’‘π’‚π’•π’Šπ’‚ π’•π’Šπ’Žπ’– π’šπ’‚π’π’ˆπ’– π’–π’”π’‰π’Šπ’π’…π’Š π’π’‚π’Œπ’Šπ’π’Š π’π’Šπ’Œπ’‚π’”π’‰π’Šπ’π’…π’˜π’‚. π‘΅π’Šπ’π’Šπ’”π’‰π’Šπ’π’…π’˜π’‚ 𝒕𝒆𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒕𝒆𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒕𝒆𝒏𝒂 π’Œπ’‚π’•π’Šπ’Œπ’‚ π’Žπ’‚π’Šπ’”π’‰π’‚ π’šπ’‚π’π’ˆπ’– 𝑡𝑫𝑰𝑢 𝑴𝑨𝑨𝑡𝑨 𝑡𝑰𝑲𝑨𝑭𝑨𝑡𝑰𝑲𝑰𝑾𝑨".

Vitakuwepo vipindi katika maisha yako utajiona umejitahidi kwa kadri uwezavyo,
umejinyima, umeaminiwa na kutegemewa na watu wako muhimu,
... lakini

MAMBO HAYATAENDA ULIVYOPANGA

,Rafiki yangu,kamwe USIKATE TAMAA.

Hakuna Ushindi Rahisi maishani.

Haijalishi umefeli Mara ngapi katika jambo lolote, haijalishi umekatishwa TAMAA mara ngapi bado unayo nafasi ya KUFANYA VIZURI.

Endelea kujifunza,kujiboresha na kufanya kwa uendelevu pasipo kukata TAMAA .

.

Bil Gates anasema , angelazimika kuanza Upya basi aungeanza na Biashara ya Mtandao .Biashara hii Ina faida nyingi ambazo...
20/11/2022

Bil Gates anasema , angelazimika kuanza Upya basi aungeanza na Biashara ya Mtandao .

Biashara hii Ina faida nyingi ambazo wengi wetu Bado hawazitambui .

Ni dhamira ya Ukurasa huu kuhakikisha tunakuletea Elimu na kukuunganisha na Fursa sahihi zaidi .

12/11/2022

Mwezi mmoja uliopita tulipata Mteja mmoja aliyeamua kuwekeza zaidi ya pesa za Kitanzania Milioni Arobaini kwenye biashara mpya ambayo tumeileta hapa Tanzania siku sio nyingi.

Ndiyo ... Tsh.40,000,000/=

Hiki ndicho tulimfanyia kabla hajaamua kuanza Biashara....

#1 Alikuwa na ndugu yake ameteseka sana Na Ugonjwa Fulani. Tuliamini sana kwenye uwezo wa Bidhaa zetu na tuliajua itamsaidia kwa sababu Kuna wengi tumewasaidia pia . Baada ya Kumsikiliza kwa makini akielezea shida ya mgonjwa wake tuliamua kumpatia dawa BURE kwa ajiri ya Majaribio kwa muda Fulani....

Mungu alivyo wa ajabu,Mgonjwa wake alipata Mabadiliko makubwa sana ndani ya Wiki mbili.(bidhaa za Majaribio tulipatia atumie kwa mwezi mzima)....akapona kabisa ..

Hii ilimshangaza sana dada huyu akikumbuka alivyoteseka kumtibisha kwa gharama kubwa Mafanikio .Hakuamini alichokuwa akiona .

#2.Cha pili aliporudi Sasa akataka kuongeza bidhaa,tunamuonesha Jinsi ambavyo anaweza kujisajiri k**a Mwanachama na akawa anapata bidhaa kwa bei ya punguzo na Bado akajipatia Kipato kikubwa kwa kuwasaidia wengine kupona changamoto zao pia .

Ndani ya Wiki mbili alikuja ofisini akitaka kuanza kwa kuwekeza zaidi ya Milioni 40!.

Cha kujifunza hapa,

Watu hupenda kuwekeza Kwenye mambo yanayowanufaisha wao pia .

Unapotaka kujenga biashara yako jifunze kuwaonyesha watu Jinsi ambavyo Watapata manufaa kutokana na Bidhaa au mfumo wako wa Biashara .

By the Way, Tunaendelea kusajiri Mawakala wapya wa Usambazaji kutoka Kila Mkoa Tanzania .

Unaweza kuchangamkia na ukawa Wakala wa kwanza na manufaa ni mengi..

Kwa maelekezo na ufafanuzi zaidi ,

Wasiliana nasi kwa Simu /Whatsapp +255763881352

12/11/2022

Hili ni miongoni mwa makosa makubwa yanayofanywa na wafanya biashara wa Biashara ya Mtandao bila wao kujua

Na kosa hili linasababisha ama wasipate faida au wakose watu wa kujoin biashara zao ili wapate Kamisheni nzuri.

Kosa lenyewe ni KUKOMAA KUTANGAZA BIDHAA TU BADALA YA KUMUONYESHA MTEJA MTARAJIWA FAIDA ATAKAYOIPATA AKIANZA BIASHARA HIYO AU ATAKAPOTUMIA BIDHAA HIZO...

Ndiyo, binadamu ni Mbinafsi kwa asili yake .

Kwenye kila anachotaka kufanya anajiuliza Kuna Faida Gani atapata.

Kwa vyovyote utakavyofanya , k**a utashindwa kumpatia jibu la swahi hili hatafanya biashara na Wewe!.

Ndiyo..

Unaposhea hiyo fursa Yako Shea zaidi faida ATAKAYOIPATA huyo mteja wako MTARAJIWA .

Na ili Uweze kufanikiwa kwenye eneo hili utapaswa kuwa na uelewa kuhusu Bidhaa au Huduma unayosambaza ..

Elewa vyema hiyo bidhaa.

Elewa vizuri huo mfumo wa Malipo wa kampuni Yako ...

Kisha Waonyeshe wateja wako Faida

Tumia mbinu hii na utakuja Kutoa ushuhuda wako.

11/11/2022

Moja ya mambo yanayowafanya Watanzania Wengi waishie kulizwa kwenye biashara nyingi za Mtandao ni TAMAA ya kutaka kufanikiwa kwa Muda Mfupi BILA KUFANYA KAZI.

Ukweli ni Kwamba hata k**a utaanzisha biashara ya Barafu haiwezi kukupatia faida kubwa ndani ya Wiki Moja.

Ukitaka kufanikiwa kwenye jambo lolote ikiwemo biashara ya Mtandao , lazima ifike kipindi uutambue ukweli na uukubali kwamba Biashara yoyote hujengwa .

Huu ndiyo Umekuwa msukumo wa Kuanzisha Ukurasa huu

Kuwafundisha wapenda Biashara Ya Mtandao ukweli, kuwaonyesha Fursa sahihi na kuwalea kibiashara wale wanaoanza .

Usichoke Kujifunza

Mtaalamu wa Masuala ya Biashara na Mauzo , Ndugu ROBERT KIYOSAKI anaeleza kwamba , Moja ya maeneo sahihi ya kujifunza Uj...
11/11/2022

Mtaalamu wa Masuala ya Biashara na Mauzo , Ndugu ROBERT KIYOSAKI anaeleza kwamba , Moja ya maeneo sahihi ya kujifunza Ujuzi wa Kuuza (The sales Skill) ni Kwa kujiunga na Kufanya Biashara ya Mtandao.

Unapoanza kufanya biashara hii , utajifunza namna ya Kuuza kwa Vitendo jambo ambalo litakufanya uimarike zaidi Kila wakati.

Tafuta Kampuni iliyo serious na inampango wa Malipo unaolipa vizuri, iwe na Bidhaa au Huduma inayohitajika kwenye jamii Kisha Anza mara Moja .

Manufaa ni Mengi.

Biashara ya Mtandao ukiachana na faida za Kifedha utakazopata, inazo Faiza nyingine nyingi ukiamua Kuifanya seriously.Pa...
11/11/2022

Biashara ya Mtandao ukiachana na faida za Kifedha utakazopata, inazo Faiza nyingine nyingi ukiamua Kuifanya seriously.

Pamoja na mambo mengine, utajifunza namna ya Kuuza chochote kwa yeyote, namna ya kuongoza wengine , namna ya Kutafuta Masoko ya Bidhaa , Uongozi na usimamizi wa Biashara.

Utapata Marafiki faida wengi na kutoka Sehemu mbalimbali za Dunia .

K**a Upo DODOMA Jumamosi hii tutakuwa na Semina kubwa ya Kibiashara ofisini kwetu.

Tupo kwenye hatua za awali sana za kueneza kampuni hapa Nchini na unaweza kunufaika nayo kwa kuwa miongoni mwa waasisi kwenye eneo lako.

Tunatiketi 05 za Bure, wasiliana nasi kabla hazijaisha ili upate Tiketi Yako Mapema.

Simu/Whatsapp +255763881352

Maranyingi Mtu akihudumiwa vizuri kwenye Duka Fulani , saluni au shuleni anakwenda kuwashuhudia rafiki zake , nao wakipe...
11/11/2022

Maranyingi Mtu akihudumiwa vizuri kwenye Duka Fulani , saluni au shuleni anakwenda kuwashuhudia rafiki zake , nao wakipenda alichohumiwa wanakwenda mahala hapo paliposemwa ili wakahudumiwe .

Mkienda iwe kwenye Duka au saluni hiyo, Mtahidumiwa lakini huyo Mtu aliyewajulisha kuhusu ubora wa huduma hiyo hatambuliwi na mwenye Duka au saluni.

Huu Udhaifu ndio Ambao Biashara ya Mtandao iliamua kushughulikia .

Kwamba Mtu akimwambia Mtu mwingine kuhusu ubora wa huduma inayotolewa na kampuni Fulani, huyo Mtu aliyeitangaza kampuni analipwa Kamisheni kwa sababu kampuni ameiongezea wateja pamoja na manufaa mengine anayopata.

Tunahitaji Mawakala kutoka Mikoa yote hapa nchini kwa ajiri ya Kampuni Yetu Mpya ya International yenye Makao yake Makuu Nchini Malaysia.

Makao makuu kwa Hapa nchini yapo DODOMA ,na tumeshafungua Ofisi Dar es salaam,na Kigoma .

Wasiliana nasi kwa

Simu/Whatsapp +255763881352

Huyu ni rafiki yangu mmoja nayemfahamu , amefanikiwa kujenga biashara yake ya Mtandao kwa zaidi ya mwaka Mmoja Sasa.Ndan...
26/09/2022

Huyu ni rafiki yangu mmoja nayemfahamu , amefanikiwa kujenga biashara yake ya Mtandao kwa zaidi ya mwaka Mmoja Sasa.

Ndani ya siku 24 ameweza kutengeneza zaidi ya Dola za Kimarekani 5000 hii ni Zaidi ya Milioni 12 za Kitanzania.

Sio mchezo mchezo.

Hii biashara ukiipatia muda na Bidii ya Kazi inaweza kukupandisha viwango sana.

Ila ukiingia na wazo la kupiga pesa bila kufanya kazi umeshalizwa tayari.

26/09/2022

Inaitwa network marketing na sio netSITmarketing.

Hapo Kuna neno WORK.

Yaani Kazi au Kufanya kazi.

Maana yake rahisi tu, Ili upate Matokeo kwenye biashara ya Mtandao utapaswa kufanya Kazi.

Fanya kazi kujielimisha
Fanya kazi Kuwashirikisha watu namna Ulichonacho kitawasaidia.

Fanya kazi kuelekeza watu unaofanya nao Kazi.

Ukijidanganya kuwa utaingia tu halafu ukatulia bila kufanya kazi utalaumu watu Bure.

Ni kweli kwamba biashara hii Inao uwezo wa kukufanya ujenge biashara na Uchumi ndani ya Muda Mfupi

NetWORKmarketing

Biashara ya Mtandao ni Biashara Serious kwa watu serious .Ukihasika kuanza Kuifanya Hakikisha unapata taarifa sahihi kuh...
23/09/2022

Biashara ya Mtandao ni Biashara Serious kwa watu serious .

Ukihasika kuanza Kuifanya Hakikisha unapata taarifa sahihi kuhusu Jinsi mfumo huu wa Biashara unavyofanya kazi.

Hii itakusaidia pia kutambua Wajibu wako Kwenye biashara kabla hujaanza kupata matokeo.

Address

Nyasura
Bunda

Telephone

+255688706475

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze Biashara Ya Mtandao posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Jifunze Biashara Ya Mtandao:

Shortcuts

Share