Hadithi Za Biba Nina

Hadithi Za Biba Nina Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hadithi Za Biba Nina, College & University, Bukoba.

Karibu tena nawakalibisha
14/03/2026

Karibu tena nawakalibisha

unakumbuka,, vipi niilete maana tiyari imekamilika full episode,, weka maoni yako I've mapema sana HADITHI: FOUR TWINS (...
08/03/2026

unakumbuka,, vipi niilete maana tiyari imekamilika full episode,, weka maoni yako I've mapema sana

HADITHI: FOUR TWINS (mapacha wanne)

MTUNZI: Biba Story
Page: Hadithi Za Biba Nina

(Musimu wa kwanza)

SEHEMU YA 02

ILIPOISHIAA......
Hapana JAPHETI atujashindwa nadhani kia jaambo lazima liende sawa maana kuna watu nimesha wapa kazi ili kulitimiza hili jambo,, kwa hiyo musitie shaka hili jambo lazima litimie.

ENDELEA NAYO..
Wakiwa wanaendelea kuongea mala simu ya mkononi ya lady mariam ikaitaa,
Akaitazama nakuona aliyekuwa anampigia,
Kisha akawageukia watu wake pale na kuwatazama kila mmoja kwa tuo,, kabla ya kuipokea simu ile,,
Alipowatazama na kuona kila mmoja yuko makini kwa kumtazama,
Akaipokea simu na kuiweka sikioni na kusikiliza upande wa pili bila yeye kuongea chochote,,
Alipomaliza akaitelemsha simu kutoka sikioni, huku akionenekana mwenye furaha sana,,
Huku watu wake wakiwa wanamshanga sana, kwa sababu awakujua kinachomfuraisha.

Akawatazama kwa mala nyingine tena, hakiwa na tabasamu kubwa,,
,,akasema, tunaelekea kwenye kilele sasa.
Kilele gani hicho mkuu mbona sielewi hapo?
Alimkatisha baba mmoja aliyekuwepo pale kwenye kikao, huyu anaitwa BABAGE KELVIN,
,namanisha sasa natakiwa kwenda TANZANIA, Maana mmoja wa watu wangu niliowapa kazi ya kutukamilishia mpango wetu ameukamilisha, sasa naenda huko sasa hivi.

KAGERA TANZANIA..
Mama yule alipomaliza kuwaza na kuwavalisha zile cheni, hapo hapo akapoteza fahamu,
Madakitari na manesi walikuja wanakimbia kumyazama mama huyo nini kimemkuta baada ya kuitwa na nesi mmoja kwa jina SHEFAH AHMED aliyekuwemo kwenye hiyo wodi,

Walipofika dakitari mkuu aliyejulikana kwa jina la ZEKARIA PETER, akatoa vipimo na kuanza kimpima hili kugundua nini kinamsumbua, lakini alipompima, akapatwa na mstuko mkubwa, mpaka madakitari wenzake na manesi wakamshangaa,
Nini mkuu mbona umepatwa na mstuko gafura?
Akauliza nesi mmoja jina JANETH MAHEWA.
Ana watoto wengine tumoni. Alijibu Zekaria,
Aaaaaaaaaaah!

06/02/2026

Mnaikumbuka????HADITHI: FOUR TWINS (mapacha wanne)

MTUNZI: Biba Story
Page: Hadithi Za Biba Nina

(Musimu wa kwanza.)

SEHEMU YA KWANZA

🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟⭐⭐⭐⭐🌟🌟🌟🌟
ANZA NAYO,,,,,,,

Katika hosipitari iliyoko ya nyakahanga iliyopo wiraya ya karagwe mkoani kagera.
Mama mmoja anaonekana akijifungua,, na jitiada za manesi zinaonekana kubwa kuakikisha mama huyo anajifungua salama.
Na kweri baada ya mda kidogo, jitiada zote zinaonekena kuzaa matunda, na mama huyo anajifungua watoto wawili mapacha,, huku manesi wakimpa hongera nyingi.

Anaamka mama uyo anawangalia watoto wake wawili ambao ni wa kiume na wa k**e,,
Kisha anatabasamu akiwafurahia watoto wake.
Anavuta mkoba wake ulioko pale pembeni mwa kitanda alicholalia anaufungu na kutoa cheni nne zinazofanana, anachukua cheni mbili anawavarisha hao watoto kila mmoja ya kwake,, anaushika mkoba wake na kuzirudisha cheni zile mbili zilizobaki,,

Ila wakati anazirudisha zile cheni kwenye mkoba, mala ile furaha aliyokuwa nayo inapotea ghafura, na kuanza kuwaza huku machozi yananza kumtoka.

MAWAZO: angelikuwepo mme wangu tungefurahi pamoja na ile ndoto yetu ya kuwazaa watoto wanne na kuwavisha hizi cheni ingetimia, sasa ona leo hiyo ndoto imeshindikana kutimia, ila yote sawa kwa sababu ni mipangi ya MUNGU,
MWISHO WA KUWAZA,
Akadondoka na kupoteza fahamu.

ENTEBE UGANDA
Kikao kilichokaliwa na watu wanne, wakionekana kujadiri jambo lenye utata mkubwa sana na ni k**a fumbo,
Sasa maadamu mbonah hili swala linakuwa zito sana na gumu,?
,,,aliuliza bwana mmoja bonge akimuhuliza mwanamama mmoja aliyepo kwenye kikao hicho, akiwa ndo yeye peke yake mwenye jinsia ya k**e, waliobaki wote wakiwa wanaume , pia wakimutukuza k**a kiongozi wao,
,jina lake anaitwa, MARIAM KINJE, Ila akipenda kujiita (lady mariam)
Uyu pia ni miongoni mwa waliocheza picha nyingi nilizondika,
Nna miongoni mwa picha ni k**a
MY LIFE, KISASI, KATIRI, MPELELEZI ALIYEPOTEA, LAZIMA TUFIKE TULIPOAGIZWA Na nyinginezo,,

Hapana JAPHETI at

27/08/2025

Address

Bukoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hadithi Za Biba Nina posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share