Bukoba Hope Lutheran Sec School

Bukoba Hope Lutheran Sec School BUKOBA HOPE LUTHERAN SECONDARY SCHOOL Stay tuned for exciting announcements, inspiring stories, and opportunities to engage with our school activities.

🌟 Welcome to Bukoba Hope Lutheran Secondary School page! 🌟
Dear Students, Parents, Teachers, and Friends,
Welcome to the official page of Bukoba Hope Lutheran Secondary School! πŸŽ‰ We are excited to connect with you and share the latest updates, events, and achievements from our school community. At Bukoba Hope Lutheran, we are dedicated to providing a nurturing environment where e

very student can excel academically, grow socially, and explore their talents. Our committed educators are here to support and guide our students on their educational journey, preparing them for future success. Let's celebrate our accomplishments together and create memorable experiences as part of the Bukoba Hope Lutheran family! Don't forget to like our page to stay updated and join us in celebrating the spirit of learning and community at Bukoba Hope Lutheran Secondary School!

20/08/2026

Siku zimebaki chache mno.

11/08/2026

KARIBU TAREHE 12/9/2026 MTIHANI WA KUJIUNGA NASI KIDATO CHA KWANZA 2027

01/08/2026

MISSION DAYS 2026 | Siku ya 2

Mission Days zinaendelea kwa neema ya Mungu! ❀️

Tangu Ijumaa tumekuwa katika huduma ya kuwatembelea wanafunzi wetu katika Kaya zao, tukiwatia moyo, kuwahamasisha kujituma katika masomo, na kuwakumbusha kuwa mafanikio huanza na msingi imara wa kiroho na nidhamu.

Leo, Jumamosi, tumebarikiwa na semina na mafundisho mbalimbali kutoka kwa wageni waalikwa. Mioyo yetu imeguswa na Neno la Mungu lililotuongoza:

"Basi kumbuka ulikoanguka, ukatubu..."

Ni wito wa kutafakari, kurejea kwa Mungu, na kuanza upya kwa nguvu na matumaini mapya. Tunaamini Mission Days hizi zitaendelea kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya kila mwanafunzi.

Bukoba Hope Lutheran Secondary School – Familia ya Washindi.
Where Everyone is in Christ, Everyone Wins.

20/07/2026

Jana, Jumapili, tulibarikiwa kusikia Neno la Mungu kupitia Mwalimu Denis Lema.
"Kijana kumjua Mungu kunaleta nguvu ya kiroho, hekima na uhodari."
Tunamshukuru Mungu kwa ujumbe uliotutia moyo na kutukumbusha kwamba vijana wanaomjua Mungu husimama imara katika imani na maisha yao. Tuendelee kumtafuta Mungu kila siku, maana ndani Yake ndipo kuna ushindi wa kweli. πŸ™βœ¨

09/07/2026

Rejoice in the Lord always

Wao ndio nguvu ya Bukoba Hope. Wao ndio moyo wa Familia ya Washindi. πŸ’™Kwa kila mafanikio tunayoyaona, kuna wafanyakazi w...
27/06/2026

Wao ndio nguvu ya Bukoba Hope. Wao ndio moyo wa Familia ya Washindi. πŸ’™

Kwa kila mafanikio tunayoyaona, kuna wafanyakazi wanaotoa muda wao, maarifa yao, na mioyo yao kwa upendo na uaminifu. Asanteni kwa kujitolea kulea, kufundisha, kuongoza na kuwajenga wanafunzi wetu kila siku.

Tunawapongeza na kuwathamini wafanyakazi wote wa Bukoba Hope Lutheran Secondary School kwa huduma yenu isiyochoka na mchango mkubwa katika kuifanya shule yetu iendelee kung'ara.

Mungu awabariki, awaongezee afya, hekima na nguvu ili muendelee kuijenga Familia ya Washindi. Tunajivunia kuwa nanyi! ❀️

26/06/2026

Pamoja Hudumani, Imarisha Misioni ya Mungu.

Kwa furaha kubwa, familia ya Bukoba Hope Lutheran Secondary School inampongeza kwa dhati Madam Dorothy Bigham kwa kutambuliwa k**a Mtenda Kazi Bora wa Mwaka katika maadhimisho ya Siku ya Utume ya Dayosisi ya Kaskazini Magharibi.

Tuzo hii ni ushahidi wa uaminifu, bidii, moyo wa kujitolea, na huduma yenye upendo katika kuendeleza misioni ya Mungu kupitia elimu. Tunakutakia baraka tele na nguvu zaidi ili uendelee kuwa mwanga na mfano bora kwa jamii.

Hongera sana, Madam Dorothy Bigham! Familia ya Washindi inajivunia wewe. πŸ’™πŸ†

19/06/2026

BUHOLUSE

Address

Ruhija, Ibwera, Bukoba DC
Bukoba

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bukoba Hope Lutheran Sec School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category