Goshen Children Palace

Goshen Children Palace Tunatengeneza watoto wenye akili nzuri , maadili mema na kumcha Mungu , (0717 477501) . Tupo Bariadi

Usajili wa 2026 unaendelea  KARIBU SANA - 0717 47 75 01
11/12/2025

Usajili wa 2026 unaendelea KARIBU SANA - 0717 47 75 01

08/12/2025

Matukio - Mahafali Goshen Children Palace , class of 2025.

Usajili wa 2026 Unaendelea ,tupigie 0717477501

CLASS of 2025 . GOSHEN CHILDREN PALACE.NENO MAALUM KWA WATOTO WETU WALIOMALIZA MWAKA 2025. Dear Class of 2025, we are so...
05/12/2025

CLASS of 2025 . GOSHEN CHILDREN PALACE.
NENO MAALUM KWA WATOTO WETU WALIOMALIZA MWAKA 2025.
Dear Class of 2025, we are so proud of how far you’ve come. Your curiosity, joy, and courage have made this journey beautiful. Keep shining, keep learning, and keep believing in your dreams.

The world is waiting for your greatness!

HABARI NJEMA KWA WATU WA BARIADI NA VITONGOJI VYAKE.Je unahitaji shule nzuri ya kumpeleka mtoto wako mdogo? Basi GOSHEN ...
30/12/2024

HABARI NJEMA KWA WATU WA BARIADI NA VITONGOJI VYAKE.

Je unahitaji shule nzuri ya kumpeleka mtoto wako mdogo? Basi GOSHEN -CHRIST WAY CHILDCARE ndio jibu lako sahihi.

Ni kituo henye mazingira mazuri na rafiki kwa watoto wako , ina walimu wazuri, wenye uwezo wa kumfundisha mtoto wako na kumlea kwenye maadili mema.

Tunafundisha pia na kiingereza kwa watoto- English Medium , cha kuongea na kuandika.

Tupo Somanda, Bariadi “ Koki ya maji “

Pia tunatoa Chai Asubuhi , Chakula cha mchana , usafiri

UMRI WA KUANZIA MWAKA 1 HADİ 5.

Karibu sana kwa malezi salama kwa mtoto wako , BEI ZETU NI NAFUU SANA.

MAWASILIANO; 0717 477501 , 0759 18 6140.

Address

Bariadi

Telephone

+255717477501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goshen Children Palace posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Goshen Children Palace:

Shortcuts

Share

Category