Sir Charles Ticha

Sir Charles Ticha I offer Primary&Sec.Education through QT, Resiting(4&6),Tuition STD1-F6,Pre-Form 1&5,&Eng. Course

   Taifa la Kesho;vijana&watoto.Mungu awaangazie kesho yenu.
07/05/2026




Taifa la Kesho;vijana&watoto.
Mungu awaangazie kesho yenu.

Kheri ya Pasaka kwa vijana wangu wote wa darasa la Saba 2026 popote mlipo.Jumatano kazi inaendelea.
05/04/2026

Kheri ya Pasaka kwa vijana wangu wote wa darasa la Saba 2026 popote mlipo.
Jumatano kazi inaendelea.


Kwa kushirikiana na....Wahi mapema!
24/01/2026

Kwa kushirikiana na....
Wahi mapema!

14/01/2026

Call now to connect with business.

This is what google and its AI tools will bring you if you search about me  Charles Ticha Bado ninatoa huduma za masomo ...
09/01/2026

This is what google and its AI tools will bring you if you search about me Charles Ticha

Bado ninatoa huduma za masomo ya sekondari kwa wanaojiendeleza au kurudia mitihani ya Taifa(Form two,Form Four na Form Six).
Huduma zangu ni za ubora na viwango vya kitaifa na bei zangu ni nafuu sana!
Ninaweza pia kumfuata mteja pahala pake atakapopapendekeza nimfanyie huduma au yeye kuja pahala pangu pa kutolea huduma.
0753914344 || 0684313638 Piga/Tuma SMS tuyajenge!

Nyote mnakaribishwa.
26/07/2025

Nyote mnakaribishwa.

Vijana wenzangu, nina hakika mlisikiliza vema hotuba ya Mh.Rais wa Jamhuri yetu Tukufu ya Muungano wa Tanzania kwa Bunge...
02/07/2025

Vijana wenzangu, nina hakika mlisikiliza vema hotuba ya Mh.Rais wa Jamhuri yetu Tukufu ya Muungano wa Tanzania kwa Bunge na Wa-Bunge.Agizo lake kwa chama(CCM) "kutoa nafasi zaidi kwa vijana,wanawake na walemavu" mlitilie maanani kwa vitendo.
Vijana tunaokidhi sifa na vigezo ni wajibu wetu kujitokeza kuchukua fomu za kuwania uwakilishi ngazi ya kata na jimbo.
Mapinduzi ya kifikra huletwa na vijana na ndiyo maana Mh.Rais ametilia mkazo uwakilishi wao.Kwa msingi huu,itakuwa ni usaliti wa wazi kwa Mh.Rais endapo sisi vijana hatutamuunga mkono kwa kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za uwakilishi.

Tunawapongeza vijana wote waliofanya vema kwenye matokeo ya Mtihani wa taifa wa  kidato cha nne 2024.Niwaombe wahitimu h...
23/01/2025

Tunawapongeza vijana wote waliofanya vema kwenye matokeo ya Mtihani wa taifa wa kidato cha nne 2024.
Niwaombe wahitimu hawa pamoja na wazazi na walezi wao kuona haja ya kuwaandaa kitaaluma kwaajili ya kukabiliana na changamoto za kitaaaluma wanazoweza kukumbana nazo pale watakapokuwa wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano hapo baadaye mwaka huu 2025.
Ipo huduma maalumu kwaajili ya wahitimu wanaotarajia kujiunga form five iitwayo na miongoni mwa wawezeshaji ni pamoja na vijana wenzangu toshelezi kwa kazi hii.
Tunaandaa vijana kwenye michepuo yote ya Sanaa na Sayansi na idara zetu ni imara.
Ada zetu ni nafuu mno na hulipwa kwa awamu .
Huduma ya itaanza rasmi Jumatatu tarehe 27.01.2025.
Wahi ili ufaidi mapindi na malipo yako.
Tupo Bariadi Mjini.
Sehemu ya kulala ipo kwa wanaotoka mbali.
Eneo letu la huduma lina maji na umeme pamoja na utulivu usio na kifani.
0753914344 kwa mawasiliano zaidi(Calls/Whatsap)
Nyote tunawakaribisha kwa huduma bora na mstakabali chanya wa elimu za vijana wa Tanzania.

,M.D
!

Watu wote mlio na nia ya kufanya mitihani  ya Baraza la Mitihani la Taifa yaani NECTA  mnapaswa kuwahi ili kuepusha usum...
14/01/2025

Watu wote mlio na nia ya kufanya mitihani ya Baraza la Mitihani la Taifa yaani NECTA mnapaswa kuwahi ili kuepusha usumbufu na changamoto zinazotokana na kuchelewa zikiwa ni pamoja na faini na kufanya makosa yasiyorekebesheka.
Njoo hapa Simiyu Open School tukusaidie kujisajili kwa mwaka huu 2025.


Address

Kidinda
Bariadi

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Sunday 07:00 - 17:00

Telephone

+255753914344

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sir Charles Ticha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share