Eagles Secondary School

Eagles Secondary School A boys-boarding school devoted to provide a good quality education in Tanzania.Eagles enrolls obedient youth for both for O-Level and A-Level studies

- Shule itafunguliwa tar. 28.06.2020.- Nafasi za kuhamia na kujiunga kidato cha tano bado zipo kwa tahsusi za PCM, PCB, ...
24/06/2020

- Shule itafunguliwa tar. 28.06.2020.
- Nafasi za kuhamia na kujiunga kidato cha tano bado zipo kwa tahsusi za PCM, PCB, PGM, CBG, PMC, CBC, ECA, HGE, EGM, KLF, HGL, HKL na HGK. - Wanafunzi wanatatakiwa kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Covid -19 kwa kuja na mahitaji k.m vitakasa mikono na barakoa.

Good news!95% of our form four graduates have been selected to join form five and colleges in Institutions run by the go...
18/06/2020

Good news!
95% of our form four graduates have been selected to join form five and colleges in Institutions run by the government.
Special thanks goes to our teachers, parents and students for this great success.

Karibu Eagle High School kwa elimu bora ya kijana wako. Tunaendelea kupokea wanafunzi wa kuhamia. Wasiliana nasi kwa mae...
06/05/2020

Karibu Eagle High School kwa elimu bora ya kijana wako. Tunaendelea kupokea wanafunzi wa kuhamia. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. 0738-719877, 0738-719875,0754- 303759

Ratiba ya marudio ya masomo kwa maandalizi ya mtihani wa Taifa wa kidato cha sita kwa wiki hii TBC1.
04/05/2020

Ratiba ya marudio ya masomo kwa maandalizi ya mtihani wa Taifa wa kidato cha sita kwa wiki hii TBC1.

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya wafanyakazi.
01/05/2020

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya wafanyakazi.

Usiache OFA hii ikupite. Fomu za kujiunga zinapatikana:-Eagles High School (Bagamoyo)-Msimbazi Centre (Chumba No:9)-Tovu...
29/04/2020

Usiache OFA hii ikupite.
Fomu za kujiunga zinapatikana:
-Eagles High School (Bagamoyo)
-Msimbazi Centre (Chumba No:9)
-Tovuti ya shule


Ratiba ya marudio ya masomo kidato cha VI (TBC1)Kwa kipindi hiki ambapo shule zimefungwa tunawakumbusha wanafunzi wote w...
27/04/2020

Ratiba ya marudio ya masomo kidato cha VI (TBC1)

Kwa kipindi hiki ambapo shule zimefungwa tunawakumbusha wanafunzi wote waendelee kujisomea kwa bidii na tunawasisitiza wazazi/walezi kuwasimamia vijana wetu kwenye hili.
Credit: Taasisi ya Elimu

Happy Union Day!
26/04/2020

Happy Union Day!


Tunawatakia Waislam wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
24/04/2020

Tunawatakia Waislam wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan


Karibu Eagle High School kwa elimu bora ya kijana wako. Tunaendelea kupokea wanafunzi wa kuhamia na Fomu za kujiunga kid...
22/04/2020

Karibu Eagle High School kwa elimu bora ya kijana wako. Tunaendelea kupokea wanafunzi wa kuhamia na Fomu za kujiunga kidato cha Tano bado zipo, Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. 0738-719877, 0738-719875,0754- 303759

Nafasi kwa wanafunzi wa kuhamia bado zipo. Shule yetu ni ya bweni na ina mazingira mazuri ya kujifunza. Wasiliana nasi k...
20/04/2020

Nafasi kwa wanafunzi wa kuhamia bado zipo. Shule yetu ni ya bweni na ina mazingira mazuri ya kujifunza.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi; 0738719877, 0738719875,0754303759

Tunaendelea kupokea wanafunzi wanaohamia kwa kidato cha I, III na V.Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi; 0738719877, 073871...
17/04/2020

Tunaendelea kupokea wanafunzi wanaohamia kwa kidato cha I, III na V.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi; 0738719877, 0738719875,0754303759

Address

Bagamoyo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eagles Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Eagles Secondary School:

Shortcuts

Share

Category