Mwasama School Bagamoyo

Mwasama School Bagamoyo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwasama School Bagamoyo, School, Box 240, Bagamoyo.

Majadiliano yakiendelea.
24/03/2019

Majadiliano yakiendelea.

24/03/2019
24/03/2019

Majadiliano ya Wazazi na Waalimu kuhusu Maendeleo ya Shule, Leo 23.03.2019. Kwa kweli hali ya matumaini kimafanikio iko juu. Hongera sana.

Mwasama School young wildlife rangers. I love this.
08/02/2019

Mwasama School young wildlife rangers. I love this.

Mazingira ya Shule ya Awali na Msingi Mwasama si wma mafunzo tu, bali malezi, makuzi na maisha ya kila siku ni mazuri mn...
23/07/2018

Mazingira ya Shule ya Awali na Msingi Mwasama si wma mafunzo tu, bali malezi, makuzi na maisha ya kila siku ni mazuri mno. Hapa makundi ya wanafunzi kwa madarasa wakiwa na marafiki zao na Waalimu wao, wakisherehekea siku zao za kuzaliwa. Hakika mtoto hawezi kuwaza nyumbani nyakati za mafunzo. Hongera kwa Waalimu kwa kufanikisha hili.

Presentation/display of work done by Pre Class and Class One done yesterday (03/03/2018) during Parents/visiting day. Pr...
04/03/2018

Presentation/display of work done by Pre Class and Class One done yesterday (03/03/2018) during Parents/visiting day. Progressive reports on individual students are also done during the visit.

Maonyesho ya kazi za wanafunzi wa darasa la Awali na la Kwanza yaliyofanyika kwa wazazi Iowa na siku ya kuwatembelea wanafunzi na kuja Maendeleo yako.

23/12/2017

Shule ya Mwasama imeondoa fedha ya kujiandikisha (registration) na majengo (buildings) kwa msimu huu. Hebu tumia nafasi huu kuleta mtoto wako kujiunga na shule kwa ada nafuu. Karibuni kwenye shule yenye historia ya ushindi na maendeleo tu.

Mwasama Pre and Primary Schools Self Reliance project.  This should be emphasised for every school to have it again.
14/09/2017

Mwasama Pre and Primary Schools Self Reliance project. This should be emphasised for every school to have it again.

Mradi Wa ufugaji samaki "sato"
11/08/2017

Mradi Wa ufugaji samaki "sato"

Mradi Wa ufugaji kuku Mwasama.
11/08/2017

Mradi Wa ufugaji kuku Mwasama.

Mwasama ni shule ya malezi bora licha ya kuwa bora katika elimu. Inafundisha maadili bora na kutoa mafunzo ya vitendo il...
21/07/2017

Mwasama ni shule ya malezi bora licha ya kuwa bora katika elimu. Inafundisha maadili bora na kutoa mafunzo ya vitendo ili mwanafunzi anapohitimu elimu ya msingi anakuwa na ujuzi wa ziada katika maisha. Elimu hii ni katika kushiriki kutunza bustani zao wenyewe, kufuga kuku na samaki. Pia hutumia mazao yao k**a chakula. Mungu awape nini zaidi ya haya ili kumshukuru. Alhamdullillah.

17/05/2017

Germany and Renewable Energy

Address

Box 240
Bagamoyo
N/A

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwasama School Bagamoyo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category