mamuu1989_

mamuu1989_ Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mamuu1989_, Education, Bagamoyo.

You cannot build your life on hurt from your past ..let it go relax accept start over
05/06/2024

You cannot build your life on hurt from your past ..let it go relax accept start over

Kubali mchakato wa kuelekea mafanikio uyatakayo Duniani kila kitu tabu.. Mahusiano kazi..ndoa kazi.. Single kazi Utajiri...
08/10/2022

Kubali mchakato wa kuelekea mafanikio uyatakayo Duniani kila kitu tabu.. Mahusiano kazi..ndoa kazi.. Single kazi Utajiri kazi. Kuishi na watu kaziiii?! Ukisikiliza sana watu kila kitu utaona tabu sasa chagua tabu moja ibinue k**a hlo pilau komaa nayo usiache kusali hata kwa lugha yako Mungu hatoki kijijini kwa mtu a nasikia sana. Nidhamu sasa itatunza yote

Friending
05/10/2022

Friending

07/03/2022

Kuelekea siku ya wanawake napenda kuwakumbusha kuwa uhuru wa kipato humsaidia mwanamke kuwa na maamuzi sasa k**a atakiwa na busara .kukosa pesa kunaweza kukunyima msimamo wa malengo yako ukawekeza malengo kwa mtu mwingine. Tambua uwepo wa Mungu kwenye mmaisha yako,tumia watu waliokuzunguka heshimu watu jali wateja ila usijipendekeze wekeza heshima ..huduma safi na kuwa ..msimamo

magetimia bagamoyo
23/06/2021

magetimia bagamoyo

18/03/2021

Address

Bagamoyo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mamuu1989_ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category