Hayatul Islamiya Secondary School

Hayatul Islamiya Secondary School

Comments

💗
Kikubwa pumzi
So wonderfull
Matokeo ya kidato cha NNE 2018
I'm looking email of that school plz help me

This page shows different issues happening at Hayatul Islamiya Secondary School and all information about the school

Operating as usual

19/07/2021

عيد الأضحى مبارك عليكم من مجمعة حياة الإسلامية

عيد الأضحى مبارك عليكم من مجمعة حياة الإسلامية

13/07/2021

Nafasi za masomo kwa kidato cha tano 2021 zinapatikana kwa gharama nafuu sana.
Ada kwa shule yetu ni Tsh. 1,000,000/= tu. Ada inalipwa hadi mara nne kwa mwaka (kila ifikapo mwanzo wa muhula)

COMBINATIONS ZINAZOPATIKANA SHULENI

PCM, PCB, PGM, EGM,HGL, HKL, HGK, HGE NA KLA

KARIBUNI WOTE HAYATUL ISLAMIYA SECONDARY SCHOOL

12/07/2021

💥💥 Kupata habari mpya na taarifa mbalimbali kwa haraka tembelea website yetu 💥💥

12/07/2021

💥💥 Kupata habari mpya na taarifa mbalimbali kwa haraka tembelea website yetu 💥💥

11/07/2021

ALHAMDULILLAH, MAASHAALLAH vijana wetu wamefanya vizuri.
Hii yote ni kazi kubwa iliyofanywa na walimu wetu katika kuhakikisha vijana wa kiislamu wanapata elimu bora na yenye manufaa kwao. Pongezi nyingi ziwaendee walimu wote wa Hayatul Islamiya na uongozi wote wa shule yetu kwa mikakati iyo bora.
الحمد لله؛ جزاكم الله خيرا.

Photos from Hayatul Islamiya Secondary School's post 13/05/2021

عيد مباركا

13/05/2021

عيد المبارك من حياة الاسلامية

عيد المبارك من حياة الاسلامية

13/05/2021

تقبل الله منا و منكم

Taasisi ya Hayatul Islamiya Complex inawatakia heri na baraka wafanyakazi, wanafunzi na waislamu wote katika kusheherekea sikukuu hii ya Eid el-fitr

Photos from Hayatul Islamiya Secondary School's post 05/01/2021

HAYATUL ISLAMIYA COMPLEX HEALTH CENTER

Huu ni mradi wa ujenzi wa hospitali ya kisasa itakayokuwa ikitoa huduma bora kabisa kwa gharama nafuu sana tena kwa kufuata MISINGI NA TARATIBU ZA DINI YA KIISLAMU

Hadi kufikia sasa tumeshaanza awamu ya kwanza ya ujenzi wa mradi huu kama unavyoonekana katika 3D DESIGN ya ramani ya hospitali hiyo itakayokuwa ikionekana hapo itakapokamilika ujenzi wake mwaka 2022 INSHALLAH

KWA WANAOPENDA KUCHANGIA KATIKA MRADI HUU WANAWEZA KUTUMA MICHANGO YAO KATIKA
ACCOUNT NAMBA
------------------------------------------------------
NBC a/c NO: 072206006583
JINA: UJENZI WA KITUO CHA AFYA H.I.C.

AU kupitia namba ya simu ya HALOTEL: 0622977536
JINA: HUSEIN MWINAMI

04/01/2021

KARIBUNI HAYATUL ISLAMIYA KWA ELIMU BORA NA MALEZI YA KIISLAMU KWA MWANAO

MASOMO YANAYOFUNDISHWA SHULE YA MSINGI

1. HISABATI
2. SAYANSI
3. ENGLISH
4. KISWAHILI
5. MAARIFA YA JAMII (URAIA, HISTORIA NA JIOGRAFIA)
6. ELIMU YA DINI YA KIISLAMU
7. ARABIC
8. QUR'AN (KUSOMA, TAFSIRI NA KUHIFADHI)

MASOMO YANAYOFUNDISHWA O-LEVEL

1. BASIC MATHEMATICS
2. ENGLISH LANGUAGE
3. PHYSICS
4. CHEMISTRY
5. BIOLOGY
6. GEOGRAPHY
7. HISTORY
8. CIVICS
9. KISWAHILI
10. LITERATURE IN ENGLISH
11. ELIMU YA DINI YA KIISLAMU
12. ARABIC
13. QUR'AN (KUSOMA, TAFSIRI NA KUHIFADHI)

Nafasi za kujiunga kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la saba kwa mwaka 2021 zinapatikana
------------------------------------------------------------------------------
Fomu za kujinga ni BURE na zinapatikana shuleni au kwa WhatsApp
------------------------------------------------------------------------------
Shule itafunguliwa tar 11/1/2021

ELIMU BORA NA MALEZI YA KIISLAMU KWA MWANAO
---------------------------------------
NAFAZI KWA KIDATO CHA KWANZA ZIPO, PIA KWA WANAOTAKA KUHAMIA KIDATO CHA TATU
---------------------------------------
Shule imeshafunguliwa leo kwa kidato cha kwanza 2021
---------------------------------------
KARIBUNI HAYATUL ISLAMIYA SECONDARY SCHOOL

11/08/2020

Zahanati ya Hayatul Islamiya Complex

https://youtu.be/l7MngmywWhw

Hiini model inayoonyesha ni jinsi gani Zahanati ya hayatul islamiya Complex itakuwa ikionekana hapo itakapokuwa imekamilika ujenzi wake ifikapo mwaka 2020.

08/05/2020

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 9, 1441 | Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran (3:110)

https://youtu.be/12ntejceGy8

Mawaidha haya yametolewa na sheikh Hussein H. Mwinami Ramadhan 9, 1441 - May 02, 2020 Msikiti wa Bonga - mjini ----------------------------------------------...

07/05/2020

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 7, 1441 | Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran (3:110)

https://youtu.be/aABexD-Ko4c

Mawaidha haya yametolewa na sheikh Hussein H. Mwinami Ramadhan 7, 1441 - April 30, 2020 Msikiti wa Bonga - mjini --------------------------------------------...

07/05/2020

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 6, 1441 | Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran (3:110)

https://youtu.be/h2jjavNqlhk

Mawaidha haya yametolewa na sheikh Hussein H. Mwinami Ramadhan 6, 1441 - April 29, 2020 Msikiti wa Bonga - mjini --------------------------------------------...

07/05/2020

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 5, 1441 | Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran (3:110)

https://youtu.be/IFfIbhIZLQw

Mawaidha haya yametolewa na sheikh Hussein H. Mwinami Ramadhan 5, 1441 - April 28, 2020 Msikiti wa Bonga - mjini --------------------------------------------...

04/05/2020

Hayatul Islamiya Complex Documentary | Short clip 10

https://youtu.be/tQfx41jDTLs
---------------------------------------------
Hayatul Islamiya Complex Documentary | Short clip 10

04/05/2020

Hayatul Islamiya Complex Documentary | Short clip 9

https://youtu.be/eCJMjy1Caek
-----------------------------------------
Hayatul Islamiya Complex Documentary | Short clip 9

04/05/2020

Hayatul Islamiya Complex Documentary | Short clip 8

https://youtu.be/tizBIq7meJo
------------------------------------------
Hayatul Islamiya Complex Documentary | Short clip 8

04/05/2020

Hayatul Islamiya Complex Documentary | Short clip 7

https://youtu.be/uUzJWD9bqSE

04/05/2020

Hayatul Islamiya Complex Documentary | Short Clip 6

https://youtu.be/Q-as8_CrVA4
-------------------------------------------
Hayatul islamiya complex documentary short clips

04/05/2020

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 4, 1441 Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran(3:102,103)

https://youtu.be/fcW0G62CsCQ

Mawaidha haya yametolewa na sheikh Hussein H. Mwinami Ramadhan 4, 1441 - April 27, 2020 Msikiti wa Bonga - mjini --------------------------------------------...

03/05/2020

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 3, 1441 | Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran (3:110)

https://youtu.be/pafFYMz_G6Y

Mawaidha haya yametolewa na sheikh Hussein H. Mwinami Ramadhan 3, 1441 - April 26, 2020 Msikiti wa Bonga - mjini --------------------------------------------...

30/04/2020

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 2, 1441 | Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran (3:103)

https://youtu.be/LHl8fsl619Q

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 1, 1441 | Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran (3:110) Mawaidha haya yametolewa na sheikh Hussein H. Mwinami Rama...

30/04/2020

Sheikh Hussein H. Mwinami | Darsa - Ramadhan 1, 1441 | Tafsiri ya Qur-an | Suratu Al-imran (3:110)

https://youtu.be/Hss3vJiYL9c

Mawaidha haya yametolewa na sheikh Hussein H. Mwinami Ramadhan 1, 1441 - April 24, 2020 Msikiti wa Bonga - mjini --------------------------------------------...

10/01/2020

Matokeo ya mtihani wa kidato cha pili (FTNA) 2019

09/01/2020

Matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2019

25/12/2019

Wazazi na vijana wote tunawakaribisha Hayatul Islamiya

25/12/2019

Hayatul islamiya ni taasisi inayotoa elimu bora na kwa gharama nafuu kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita

12/11/2019

Sasa unaweza kusubscribe kwenye channel yetu ya YouTube kwa matukio mbalimbali yanayotokea hapa Hayatul

[11/12/19]   Hayatul Islamiya complex documentary, tangu kuazishwa kwa taasisi mwaka 1998

12/11/2019

Kaa tayari kwa documentary kamili juu ya Hayatul Islamiya Complex #educationforefficiency #readinthenameofyourlord

Videos (show all)

Hayatul islamiya ni taasisi inayotoa elimu bora na kwa gharama nafuu kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita
Kaa tayari kwa documentary kamili juu ya Hayatul Islamiya Complex #educationforefficiency #readinthenameofyourlord
Taasisi IPO wazi kwa yeyote anayetaka kujiunga. Karibuni tuziunganishe nguvu zetu waislamu. #educationforefficiency #lea...
Ziara 2016 day one!!

Location

Telephone

Address

Bonga
Babati

Opening Hours

Monday 06:00 - 21:00
Tuesday 06:00 - 21:00
Wednesday 06:00 - 21:00
Thursday 06:00 - 21:00
Friday 06:00 - 21:00
Saturday 06:00 - 21:00
Sunday 06:00 - 21:00
Other High Schools in Babati (show all)
Komoto sec. school Komoto sec. school
Babati
Babati