utume_wa_biblia_rc_tz

utume_wa_biblia_rc_tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from utume_wa_biblia_rc_tz, Religious school, Babati.

20/06/2023
21/05/2023

Kisa cha Daniel no 1

21/05/2023

Kisa Cha Daniel No 2

Hatusemi sheria ni mbaya , hapana , lakini alivyo ni kwamba dhambi imeamshwa na amri na hivyo badala ya kuleta uzima ime...
05/03/2023

Hatusemi sheria ni mbaya , hapana , lakini alivyo ni kwamba dhambi imeamshwa na amri na hivyo badala ya kuleta uzima imeleta kifo. Rum 7:7 – 13. Huo ndio uchakavu wa agano la kwanza n hivyo kuchaka kwake kumekalibisha kutoweka kwake .” anapo zungumzia kuhusu agano jipya anaonesha kwamba lile la kwanza limechoka , lakini kitu kilicho chakaa n kikuukuu kimekaribia kuangamia “. Ebr 8:13.

04/03/2023

4. Agano la pili limejengwa juu ya ahadi ya yesusalemu wa mbinguni ambaye ni mama yetu kwa mfano wa sara. Katika agano hilo .Mungu hutimiza ahadi zake kwa kuwahesabia waaminio haki kwa damu ya yesu , na kuwasaidia watu kuwa waadilifu kwa kupata msamaha wa dhambi . agano hilo ndilo kamilifu na agano bora zaidi. “ kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu .” 1kor 11:25 imwagwayo kwa ajili yenu”. Luk 22:20.

K**A KWA KUTOTII KWAKE MTU MMOJA ADAMU SISI SOTE TUME UKUMIWA ADHABU YA KIFO SWALI KWA NINI KOSA LITENDEKE NA MTU MMOJA ...
22/02/2023

K**A KWA KUTOTII KWAKE MTU MMOJA ADAMU SISI SOTE TUME UKUMIWA ADHABU YA KIFO SWALI KWA NINI KOSA LITENDEKE NA MTU MMOJA SISI SOTE TUHUKUMIWE KUFA ?? Na iweje sisi sote tuonekane wa dhambi kwa kosa la mtu mmoja?

Rumi 5: 12 Kwa hiyo, k**a kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi; 

Majibu ni Rahisi

Mungu aliumba Mtu na sio watu na katika mtu aliwafanya Watu Mwanzo 1:26

Tena Mwanzo 5 :2


[email protected]

K**A MTU NI MAVUMBI LAZIMA MAVUMBINI ATARUDI  mwanzo sura  3 :19 Shida sio kurudi Maana ni lazma,  shida ni Kuukosa upen...
22/02/2023

K**A MTU NI MAVUMBI LAZIMA MAVUMBINI ATARUDI mwanzo sura 3 :19 Shida sio kurudi Maana ni lazma, shida ni Kuukosa upendo wa Mungu Maana katika huo tunapata Neema na Kweli na kusamehewa Dhambi Si vigumu Mtu Kukwepa Dhambi kwa asilimia zote ila katika Kuwa kalibu na Upendo Wa Mungu Tunasamehewa Dhambi .


[email protected]

Address

Babati
27###

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when utume_wa_biblia_rc_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to utume_wa_biblia_rc_tz:

Shortcuts

Share