Pangamwenejr Janeth

Pangamwenejr Janeth Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pangamwenejr Janeth, Education, Babati.

WARUMI 8:37 Lakini katika Mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.Godchild✝️MUNGU NI YEY...
01/06/2026

WARUMI 8:37 Lakini katika Mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
Godchild✝️
MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏📸by

MARKO 10:27 Yesu akawakazia Macho, akasema, kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yanawezekana kwa ...
17/05/2026

MARKO 10:27 Yesu akawakazia Macho, akasema, kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yanawezekana kwa Mungu.
Godchild✝️
MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO HATA MILELE AMEN
for church💒🛐

MATHAYO 25:29 Kwa maana kila mwenye kitu,na kuongezewa tele; lakini asiye na kitu, hata kile alichonacho atanyang’anywa....
13/05/2026

MATHAYO 25:29 Kwa maana kila mwenye kitu,na kuongezewa tele; lakini asiye na kitu, hata kile alichonacho atanyang’anywa.
Godchild✝️
MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN
by📸🙌

MUHUBIRI 12:1 Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla azijaja siku zilizo mbaya, wala haijakaribia miaka utakapos...
10/05/2026

MUHUBIRI 12:1 Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla azijaja siku zilizo mbaya, wala haijakaribia miaka utakaposema, mimi sina furaha katika hiyo
Godchild✝️
MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏
Sunday for church⛪️🛐

MATHAYO 5:8 Heri wenye Moyo safi; maana hao watamuona  Bwana Godchild✝️MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏 ...
29/04/2026

MATHAYO 5:8 Heri wenye Moyo safi; maana hao watamuona Bwana
Godchild✝️

MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏
📸

AM THANKFULLY HAPPIE BIRTHDAY TO ME🎂🥂God child am chosen one✝️MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMENI🙏
26/04/2026

AM THANKFULLY HAPPIE BIRTHDAY TO ME🎂🥂
God child am chosen one✝️

MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMENI🙏

2NYAKATI 7:14 Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa Jina langu, Watajinyenyekesha,na kuomba,Na kunitafuta uso, Na kuacha njia ...
25/04/2026

2NYAKATI 7:14 Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa Jina langu, Watajinyenyekesha,na kuomba,Na kunitafuta uso, Na kuacha njia zao mbaya, basi, Nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
God child✝️
MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏
📸🙌

MITHALI 18:21 Mauti na uzima huwa katika uwezo wa Ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.God child✝️MUNGU NI YEYE...
20/04/2026

MITHALI 18:21 Mauti na uzima huwa katika uwezo wa Ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
God child✝️

MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏

1Petro 1:18-19 Nanyi Mwafahamu kwamba mmekombolewa si kwa vitu viharibikavyo, Kwa fedha au kwa dhahabu;Mpate kutoka kati...
16/04/2026

1Petro 1:18-19 Nanyi Mwafahamu kwamba mmekombolewa si kwa vitu viharibikavyo, Kwa fedha au kwa dhahabu;Mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; 19. bali kwa damu ya thamani k**a ya mwana-kondoo asiye na ila,asiye na waa, yaani, ya kristo🙌
God child✝️
MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏
🙌✨
📸🙌

HE IS RISEN 🙌MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏Godchild✝️
05/04/2026

HE IS RISEN 🙌
MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMEN🙏
Godchild✝️

Address

Babati

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pangamwenejr Janeth posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category