INTEL Schools

INTEL Schools Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from INTEL Schools, School, Arusha.

INTEL SCHOOLSWanafunzi wakiwa ndani ya maabara wakifundishwa somo la kemia(CHEMISTRY) kwa vitendo.... Fahari ya Sayansi ...
10/08/2019

INTEL SCHOOLS
Wanafunzi wakiwa ndani ya maabara wakifundishwa somo la kemia(CHEMISTRY) kwa vitendo....
Fahari ya Sayansi kwa wanafunzi wetu, mlete mwanao, ndugu, jamaa au rafiki apate Elimu Bora kutoka INTEL SCHOOLS...๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Karibuni Sana INTEL SCHOOLS... K**a una ndugu jamaa au rafiki, anayetafuta Shule ya msingi au sekondari... INTEL ni Shul...
10/08/2019

Karibuni Sana INTEL SCHOOLS...
K**a una ndugu jamaa au rafiki, anayetafuta Shule ya msingi au sekondari... INTEL ni Shule nzuri itakauompatia Elimu Bora. Ni Shule inayofaulisha vyema n akufanya vizuri katika mitihani ya kitaifa kwa darasa la nne, Saba , kidato cha pili na kidato cha nne. Pia
Shule Ina mazingira mazuri ya kusoma, walimu Bora, na wazoefu wanaofumdisha hata kwa vitendo, vifaa vya kutosha vya kujifunza na kufundisha...
Hakika INTEL SCHOOLS ni kisima bora cha Elimu kwa mwanao, ndugu, jamaa au rafiki...

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when INTEL Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category