10/11/2015
Je, umemaliza kidato cha nne?
MGM Networks Vocational Training college, kilichopo KARATU, kinatoa mafunzo kwa mda mfupi katika fani zifuatazo
1. Computer Course
2. Hotel Management Course
3. Secretarial Course
4. English/French course
Huduma za hostel zinapatikana kwa wanaotoka mbali. Form za kujiunga zinapatikana chuoni
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana basi
0767 828992
0784 370019
0767 863647