Losirway Secondary Community.

Losirway Secondary Community. Huu ni ukurasa maalum wa jamii ya Losirway Sekondari wanafunzi waliopita na hata wa sasa, kwa ajili

07/04/2025

TANGAZO MUHIMU.
K**A ULIHITIMU 2015 - 2023 UKAPATA DIVISION 1 - 4.
TAFADHALI FIKA SHULENI UCHUKUE CHETI CHAKO.

Washiriki wa clabu ya Ujasiriamali, wakijifunza kwa vitendo namna ya kutengeneza sabuni ya maji. Clabu ya ujasiriamali (...
05/01/2025

Washiriki wa clabu ya Ujasiriamali, wakijifunza kwa vitendo namna ya kutengeneza sabuni ya maji. Clabu ya ujasiriamali (PEP) inadhaminiwa na shirika la Ujerumani la PROBONO One world For School Partnerships.
Wanafunzi watauza sabuni hizo kwa walimu, wazazi wao na wana jamii wengine.

Wanafunzi watakapo hitimu masomo yao watakwenda kuwa wajasiriamali. Watajiingizia vipato vyao.

Clabu ya Ujasiriamali inasimamiwa na Mr. Erick Msuya pamoja na Madam Joyce Mlay.

Address

Moshono
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Losirway Secondary Community. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category