06/10/2024
FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO.
Wakati wa kufanya dialysis, Damu hutolewa Mwilini kupitia bomba jekundu,
Hupitishwa kwenye machine ya dialysis, husafishwa uchafu wote wa shuhuli za mwili nakisha kuingizwa tena ndani ya mwili kupitia bomba la blue,
Utaratibu huu hurudiwa kwa masaa 4 wakati mgonjwa akiwa ametulia kitandani.
Utaratibu huo unafanywa mara 3 kwa wiki, nisawa na mara 12 kwa mwezi Kwa mwaka mara 144,
NA
Kila wakati inachukuwa masaa 4, ambayo ni sawa na masaa 48 kwa mwezi, kwa mwaka nisawa na masaa 576,
Kwa wale ambao hawajaathirika, mchakato huu wa kusafisha damu unafanywa na figo moja kwa moja, Mara 36 kila siku,
Ndani ya mwili wako bila jitihada au usumbufu wowote, Hata wakati unaendelea na shughuli zako.
NB: Inawezekana wengi Tukawa Tunachukulia Uzima na Afya Zetu for Granted,
Lakini k**a Ukipata Muda wa Kutembelea Wodi hata 2 Hospitali Ndio Utaona Uthamani na Umuhimu wa Kuitunza na Kuithamini Afya Yako!
Figo nj moja ya ogan muhimu zaidi kwa wanadamu, watu wagonjwa wa Figo wanateseka san kuliko unavyo Dhani au unavo waona watu tulinde Figo zetu wa kunywa maji ya kutosha na kuacha kunywa pombe kupita kiasi.
Kuwa Salama Linda Figo
+Acha pombe Kali
+kunywa maji mengi
+Tibu Magonjwa ya mfumo wa mkojo
+epuka kisukari
+control blood pressure
+Linda Afya ya ini
+epuka unene Kupita kiasi
+Fanya Mazoezi iwe kipaumbele
FIGO TUILINDE TUISHI SALAMA📌Kuwa Salama Linda Figo
USIJISAHAU, JALI SANA NA TUNZA AFYA YAKO...!🫵
Wizara ya Afya Tanzania
Arusha city council