Jifunze DUA,A

Jifunze DUA,A Ni kikundi kinachojihusisha na mamb mengi ya Dini ikiwemo kujikumbusha mambo ya Dini yetu (Islam)

Ya Rabbi warehemu wazazi 🤲Ameen 🤲
11/05/2026

Ya Rabbi warehemu wazazi

🤲Ameen 🤲

Yaraby tujaalie mwisho uliokuwa mwema.Ndugu yangu Muisilam tambua ipo siku tutaiacha Dunia,Fanya Ibada       Badilika Ru...
10/05/2026

Yaraby tujaalie mwisho uliokuwa mwema.

Ndugu yangu Muisilam tambua ipo siku tutaiacha Dunia,Fanya Ibada
Badilika
Rudi kwa Allah,

*🌹SIKU YA NDOA🌹* 〰️〰️〰️〰️〰️〰️*🌹DUA YA KUMUOMBEA BIHARUSI KWA KUMUWEKEA MKONO🌹💫*✔    📃Kuweka mkono juu ya kichwa cha mke ...
04/05/2026

*🌹SIKU YA NDOA🌹*
〰️〰️〰️〰️〰️〰️
*🌹DUA YA KUMUOMBEA BIHARUSI KWA KUMUWEKEA MKONO🌹💫*✔

📃Kuweka mkono juu ya kichwa cha mke na kumuombea du´aa
Mwanaume anatakiwa kuweka mkono wake juu ya kichwa chake wakati wa kufunga ndoa au kabla ya kumwingilia na kumtaja Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) na kuomba baraka na aseme yale yaliyopokelewa katika maneno yake MTUME MUHAMMAD (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

(( _Atakapooa mmoja wenu mwanamke au akamnunua kijakazi, basi aweke mkono wake sehemu ya mbele ya kichwa kisha amtaje Allaah (´Azza wa Jall) na aombe baraka hali ya kusema_

(( *اللهُمّ إنِّي أسْألكَ مِن خَيْرِهَا وخيرِ ما جبلتها عليه وأعُوذُ بكَ منْ شَرٍِها وشَرِّ ما جبَلتهَا عَليْه* ))

*Matamshi Yake*:-

Allahumma Inniy As'aluka min Khayrihaa wakhayri maa jabalat'haa Alayhi,
Waadhubika min Sharihaa washari maa jabalat'haa Alayhi.

*Maana yake*:-

“Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba katika wema wake na wema wa Uliyomuumbia na najilinda Kwako kutokana na shari yake na shari uliyomuumbia.

Dunia SioMakazi Yetu Ya Muda MrefuTuswali Kabla Atujaswaliwa ndug zanguni,Kila SikuTunapoamka Salama Siku ZetuZakuishi N...
25/04/2026

Dunia Sio
Makazi Yetu Ya Muda Mrefu
Tuswali Kabla Atujaswaliwa ndug zanguni,

Kila Siku
Tunapoamka Salama Siku Zetu
Zakuishi Ndani Ya Dunia Hii
Zinazidi Kupunguwa

Mimi Nawewe Atujui Tumebakisha Siku Ngapi
Tusichekelee Misiba Yawenzetu
Maana Sisi Sote
Safari Yetu Nimoja
Allah Atujaalie mwisho uliokuwa mwema.

Kifo Sio Chamatajiri Pekeyao
Nawala Sio Cha Masikini Pekeyao

الحديث الشريف: "الدُّنْيَا مَتَاعٌ، وَخَيْرُ مَتَاعِ الدُّنْيَا الْمَرْأَةُ الصَّالِحَةُ" [رواه مسلمYa Rabby tujaalie fa...
18/04/2026

الحديث الشريف: "الدُّنْيَا مَتَاعٌ، وَخَيْرُ مَتَاعِ الدُّنْيَا الْمَرْأَةُ الصَّالِحَةُ" [رواه مسلم

Ya Rabby tujaalie familia iliyokuwa Bora ,

Yaa AllahTupe Mwisho uliokuwa MwemaHakika ya Umauti Uja GaflaHakuna Mwenye KujuwaAmebakisha Siku Ngapi,Masaa mangapi,dak...
17/04/2026

Yaa Allah
Tupe Mwisho uliokuwa Mwema
Hakika ya Umauti Uja Gafla

Hakuna Mwenye Kujuwa
Amebakisha Siku Ngapi,Masaa mangapi,dakika ngapi,
Wiki Ngapi Miezi Mingapi
Miaka Mingapi

Yakuishi Ndani Ya Dunia Hi

Tukumbuke Vazi Letu Lamwisho
Nisanda pekee
na Gari Letu Lamwisho ni Jeneeza

Ndug Rudi kwa Allah

Ikhwan,     {{وَاتَّقُوا يَوْمًا تُرْجَعُونَ فِيهِ إِلَى اللَّهِ ۖ ثُمَّ تُوَفَّىٰ كُلُّ نَفْسٍ مَا كَسَبَتْ وَهُمْ لَا ...
13/04/2026

Ikhwan,

{{وَاتَّقُوا يَوْمًا تُرْجَعُونَ فِيهِ إِلَى اللَّهِ ۖ ثُمَّ تُوَفَّىٰ كُلُّ نَفْسٍ مَا كَسَبَتْ وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ}}

Na iogopeni Siku ambayo mtarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, kisha kila nafsi italipwa ilicho chuma. Nao hawatadhulumiwa.

"عد إلى الله ولو أذنبت ألف مرة"

👉 “Rudi kwa Allah, hata k**a umetenda dhambi mara elfu.”

Tunakumbushana kuwa mlango wa toba uko wazi wakati wote.

Asalam alaykum        Maikhwa. kwa wale ambao bado Allah ajatujaalia kuingia katika ndoa.     Tuzidi kumuomba Allah Atuj...
10/04/2026

Asalam alaykum

Maikhwa. kwa wale ambao bado Allah ajatujaalia kuingia katika ndoa.
Tuzidi kumuomba Allah Atujaalie Mke mwema au Mume mwema.

🪼DUA YA KUPATA MKE MWEMA, MTOTO MWEMA NA KUKUJAALIA KUWA MCHAMUNGU

رَبَّنَا هَبۡ لَنَا مِنۡ أَزۡوَٰجِنَا وَذُرِّيَّٰتِنَا قُرَّةَ أَعۡيُنٖ وَٱجۡعَلۡنَا لِلۡمُتَّقِينَ إِمَامًا

"Rabbanaa hablana min azuwajina wa dhurriyatina qurrata 'Ayuni wajaalna lil mutaqina imamaa"

"Mola wetu Mlezi! Tupe katika wake zetu na watoto wetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu".

[suratil furqan : 74]

 . 👎   Je!  wajua siku Moja utabebwa kwenye mabega ya wanaume.                 👎         .Allah Atujaalie mwisho uliokuw...
08/04/2026

. 👎

Je! wajua siku Moja utabebwa kwenye mabega ya wanaume.
👎
.
Allah Atujaalie mwisho uliokuwa mwema.
🤲🤲🤲

04/04/2026

Tujiepusheni na Uzushi ktk dini ndug zanguni.

Tufuate Muongozo ktk Qur'an na Hadithi za Mtume Muhamad s.a.w

Address

Sakina
Arusha

Telephone

+255686013572

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze DUA,A posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category