16/10/2020
Jambofix Training Center ikishirikiana na Swahili Academy inawakaribisha vijana waliomaliza darasa la Saba katika masomo ya maandalizi ya kidato cha kwanza na masomo ya Computer jijini Arusha.
Hongera kwa kukamilisha masomo ya msingi na karibu tukupatie msingi imara kwa ajili ya masomo ya sekondari. Jaza fomu ifuatayo tupate taarifa zako. Tutakupigia kwa maelezo au maswali yoyote utayokuwa nayo.